Simba kashinda Jana hakuna Kelele kwa GSm anadhamini timu 16

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Baada ya ushindi wa goli 3 Jana wa Simba dhidi ya wachovu Singida fountain gate zile kelele kwamba Gsm anasponsor timu zote za ligi kuu zimekwisha/zimepungua.

Kama watoto wa Tff Jana wangefungwa au kutoa droo pasingekalika humu na kwenye baadhi ya vipindi vya michezo wachambuzi feki wangepata pakutolea nyongo zao.

Lakini kwa ajili timu ya baba imeshinda leo kimya sana, kwa sasa Gsm hana baya sijui kama wakichapwa na al ahly lawama zitaenda tena kwa Gsm anasponsor Al ahly.

Maajabu haya yanapatikana Tanzania tu yani Simba wanataka timu nyingine wakose wadhamini au wasicheze kwa kujituma kisa wao wanataka ushindi ovyoo kabisa.

Propaganda hizi feki ndio zinafanya timu zetu kukosa ubora na kushindwa kupata wachezaji wazuri timu zetu za taifa.

Timu zicheze kinyonge kisa Simba wanataka kushinda, na kuna baadhi ya wachambuzi sema ni mashabiki wa Simba wanaunga mkono huu upuuzi.

Simba mfanye sajili zenu za kigumashi then Samson Mbangula akifanya yake mnaanza kulia na GSm, timu ya kiswahili sana hii.
 
Well said. Bravo.
 
Yanga na Simba ipi Timu ya Kiswahili mskiti wa jagwani kila ijumaa kuna dua la kuiombea klabu lenu la Mzee mstafu jioni vile vibabu vyenu vinachoma ubani mda wote
 
Kuombea mtu kitu watu au ofisi ni uswahili??
Huna unalolijuakuhusu uswahili
 
Timu ya Kanjibai Mr.Janjajanja eti kainunua Simba !!! Hahaaa Baniani eti anapata hasara ! sasa kama unapata hasara unangáng''ania timu ya nini ! Kingwalangwala uko wapi ??? njoo umfurushe huyu ponjoro mwambie na makonda kiboko yake nae aje pia !!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom