Kumbuka Yanga haikuomba huruma za TFF kuhairishwa michezo yake

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Yanga kacheza na KMc Morogoro kapata ushindi karudi Dar kacheza na Polisi Tz kapata ushindi then leo kamnyuka Mwarabu goli 4.

Tofauti na Simba, Yanga hawakwenda kulia pale Tff kuomba michezo yao ipigwe kalenda la hasha wao walicheza michezo yao yote kama ratiba ilivyotaka.

Simba wao walikuja na Propaganda feki Ivory Coast ni mbali na kuwataka Tff kusogeza michezo yao mbele.

Uzuri Tff walikubali Ombi lao na mwisho wa siku wameambulia sare, Kama walivyokua wazee wa malalamiko, Tff wasingekubali ombi lao na ile droo ya juzi lazima Jumba bovu lingewaangukia Tff.

Nawashauri waandike barua nyingine kuomba maandalizi dhidi ya Jwaneng Galaxy wasije kufungwa wakasema Tff hawakuwapa muda wa kujiandaa.

Tff mtoto wenu pendwa akileta barua ya kuomba asicheze mchezo wowote hata kwa mwezi mzima plse mpeni ruksa.
 
Kutoka mtaa wa twiga hadi uwanja wa taifa unatumia siku ngapi kufika!? Je patahitaji hata uzoee mazingira au hali ya hewa tofauti!?
Ushabiki upofu
 
Hii iko kwa Simba tu ya Tanzania Timu zote zilizocheza leo zimecheza michezo yao ya ligi makwao hiyo hali hewa ya Ivory coast ipoje ni Arctic circle nini, Al Ahly kafika Kumasi kwa one day before game, Wydad kafika Botswana one day before game, same same to Mamelodi nyie lia lia fc tu.
 
Yanga kacheza na KMc Morogoro kapata ushindi karudi Dar kacheza na Polisi Tz kapata ushindi then leo kamnyuka Mwarabu goli 4.

Tofauti na Simba, Yanga hawakwenda kulia pale Tff kuomba michezo yao ipigwe kalenda la hasha wao walicheza michezo yao yote kama ratiba ilivyotaka.

Simba wao walikuja na Propaganda feki Ivory Coast ni mbali na kuwataka Tff kusogeza michezo yao mbele.

Uzuri Tff walikubali Ombi lao na mwisho wa siku wameambulia sare, Kama walivyokua wazee wa malalamiko, Tff wasingekubali ombi lao na ile droo ya juzi lazima Jumba bovu lingewaangukia Tff.

Nawashauri waandike barua nyingine kuomba maandalizi dhidi ya Jwaneng Galaxy wasije kufungwa wakasema Tff hawakuwapa muda wa kujiandaa.

Tff mtoto wenu pendwa akileta barua ya kuomba asicheze mchezo wowote hata kwa mwezi mzima plse mpeni ruksa.
Kuomba kuahirishwa mechi wakati una uwezo wa kucheza ni upuuzi, mechi zinaongeza fitness
 
Simba bila kubebwa na tff mambo yatakua magumu mno kiungo mshambuliaji Saido..
Straiker Papaa Omary wa Njombe au Fredy Kulwa hapo utapata matokeo kweli? Yule Fred Kulwa Kila mpira anaogusa ni foul.
 
Yanga kacheza na KMc Morogoro kapata ushindi karudi Dar kacheza na Polisi Tz kapata ushindi then leo kamnyuka Mwarabu goli 4.

Tofauti na Simba, Yanga hawakwenda kulia pale Tff kuomba michezo yao ipigwe kalenda la hasha wao walicheza michezo yao yote kama ratiba ilivyotaka.

Simba wao walikuja na Propaganda feki Ivory Coast ni mbali na kuwataka Tff kusogeza michezo yao mbele.

Uzuri Tff walikubali Ombi lao na mwisho wa siku wameambulia sare, Kama walivyokua wazee wa malalamiko, Tff wasingekubali ombi lao na ile droo ya juzi lazima Jumba bovu lingewaangukia Tff.

Nawashauri waandike barua nyingine kuomba maandalizi dhidi ya Jwaneng Galaxy wasije kufungwa wakasema Tff hawakuwapa muda wa kujiandaa.

Tff mtoto wenu pendwa akileta barua ya kuomba asicheze mchezo wowote hata kwa mwezi mzima plse mpeni ruksa.
Watapambana na viporo vyao
 
Back
Top Bottom