Pamoja na TFF kuwapa miezi mitatu ya kujiandaa bado wamedroo na Azam

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Ft Simba(mwenyeji) 1 Azam(Mgeni) 1.

Ndio matokeo ya mwisho pale dimba la CCM Kirumba Mwanza.Hatimaye baada ya danadana za muda mrefu leo kiporo kimeliwa pale Mwanza huku kukiwa hakuna wa kumtambia mwenzake.

Huu ni mchezo ambao uligubikwa na makandokando mengi tu kutoka kwa TFF kwa lengo la kuwapa faida Simba lakini bado wameishia kupata droo.

Since mchezo umehairishwa Simba wamebadili makocha, Simba wamefanya usajili wa baadhi ya wachezaji na hili ndio lilikua lengo kuu la Tff kuhakikisha Simba wanafanya sajili ili kuwaepusha na kipigo kingine kikali kama kile kutoka kwa Yanga na lengo lao limefanikiwa kwa Simba kuishia kupata droo.

Kwa sayansi yangu ya mpira nina hakika ile Simba waliotoka kula bakora tano wangekutana na Azam kipindi kile wangekula si chini ya goli 3, wawashukuru sana ndugu zao Tff.

Ninashauri kwa upendo walionao Tff kwa Simba mechi ya mzunguko wa pili Simba wapewe miezi 6 kabisa ya kujiandaa.
 
We unafanya masturbation ukiandika hii thread,hujaona Azam imebebwa na muamuzi kama yanga ilivyobebwa dhidi ya kagera na mashujaa..ndio maana nikasema kwenye comments nyingi waamuzi wa kitanzania wanaweza kuiwezesha timu mbovu ikaibuka mshindi kwenye mechi kwasababu ya bahasha,uwrzo duni na ushabiki wa kimxvi...ndio maana hakuna hata muamuzi mmoja wa Tanzania aliyechaguliwa SECAFA ni uharoo...Yanga makombe mengi aliyobeba ligi kuu ni yawaamuzi sio ya yanga.
 
Bwana tajiri mbona makasiriko makali sana eti tajiri tuliza munkari
 
We unafanya masturbation ukiandika hii thread,hujaona Azam imebebwa na muamuzi kama yanga ilivyobebwa dhidi ya kagera na mashujaa..ndio maana nikasema kwenye comments nyingi waamuzi wa kitanzania wanaweza kuiwezesha timu mbovu ikaibuka mshindi kwenye mechi kwasababu ya bahasha,uwrzo duni na ushabiki wa kimxvi...ndio maana hakuna hata muamuzi mmoja wa Tanzania aliyechaguliwa SECAFA ni uharoo...Yanga makombe mengi aliyobeba ligi kuu ni yawaamuzi sio ya yanga.
Hata simba ni hivyo hivyo
 
Ft Simba(mwenyeji) 1 Azam(Mgeni) 1.

Ndio matokeo ya mwisho pale dimba la Ccm Kirumba Mwanza.Hatimaye baada ya danadana za muda mrefu leo kiporo kimeliwa pale Mwanza huku kukiwa hakuna wa kumtambia mwenzake.

Huu ni mchezo ambao uligubikwa na makandokando mengi tu kutoka kwa TFF kwa lengo la kuwapa faida Simba lakini bado wameishia kupata droo.

Since mchezo umehairishwa Simba wamebadili makocha, Simba wamefanya usajili wa baadhi ya wachezaji na hili ndio lilikua lengo kuu la Tff kuhakikisha Simba wanafanya sajili ili kuwaepusha na kipigo kingine kikali kama kile kutoka kwa Yanga na lengo lao limefanikiwa kwa Simba kuishia kupata droo.

Kwa sayansi yangu ya mpira nina hakika ile Simba waliotoka kula bakora tano wangekutana na Azam kipindi kile wangekula si chini ya goli 3, wawashukuru sana ndugu zao Tff.

Ninashauri kwa upendo walionao Tff kwa Simba mechi ya mzunguko wa pili Simba wapewe miezi 6 kabisa ya kujiandaa.
Sasa makelele muyaache, maana mechi imeshachezwa. Tunarudi CAF CL
 
Hizi nyuzi zako za kifala hata wanayanga wenzako wenye akili wanakudharau tu
JamiiForums1381953234.jpg
 
We unafanya masturbation ukiandika hii thread,hujaona Azam imebebwa na muamuzi kama yanga ilivyobebwa dhidi ya kagera na mashujaa..ndio maana nikasema kwenye comments nyingi waamuzi wa kitanzania wanaweza kuiwezesha timu mbovu ikaibuka mshindi kwenye mechi kwasababu ya bahasha,uwrzo duni na ushabiki wa kimxvi...ndio maana hakuna hata muamuzi mmoja wa Tanzania aliyechaguliwa SECAFA ni uharoo...Yanga makombe mengi aliyobeba ligi kuu ni yawaamuzi sio ya yanga.
Hivi kweli mtu mwenye akili tumamu eidha wa simba au yanga anaweza kuwalaumu waamuzi kwa kucheza fyongo??

Ni mara ngapi hizi timu zinanufaika na maamuzi mabovu ya waamuzi??

Mashabiki jau sana, mkibebwa nyie mnanywea na kupongeza, mkilizwa full lawama.
 
Azam sare wameitaka wenyewe kwa upuuzi wao, hawakua na Moyo wa kuhamasishana.
Leo Simba ilikua inafanya makosa mengi Sana, nikukosa utulivu kwa Azam la si hivyo walitakiwa wapate si Chini ya goli tatu.
Kuhusu uamuzi, katika mechi nyingi za Azam dhidi ya timu za Kariakoo wao wamekua wahanga, ni Marachache Sana kama Leo wao Azam kufaidika na makosa ya Mwamuzi.
Kwaujumla Azam wajilaumu wenyewe, wachezji wa Simba walikua ndembendembe.
 
Hii game Azam wangeacha utoto ilikua inaisha kipindi cha kwanza
 
Azam hawatakaa wawafunge Kolowizard goli nyingi kama wameshindwa kufanya hivyo leo. Mnyama alifanya makosa mengi saana. anyway Kolo amepata kipimo sahihi
 
We unafanya masturbation ukiandika hii thread,hujaona Azam imebebwa na muamuzi kama yanga ilivyobebwa dhidi ya kagera na mashujaa..ndio maana nikasema kwenye comments nyingi waamuzi wa kitanzania wanaweza kuiwezesha timu mbovu ikaibuka mshindi kwenye mechi kwasababu ya bahasha,uwrzo duni na ushabiki wa kimxvi...ndio maana hakuna hata muamuzi mmoja wa Tanzania aliyechaguliwa SECAFA ni uharoo...Yanga makombe mengi aliyobeba ligi kuu ni yawaamuzi sio ya yanga.
Utaahira wenu ndio huu vijana wa mangungu, Azam kawazidi Kila kitu wangekuwa na match fitness mngekula gongo 3 Leo shukuruni wametoka mapumziko awakuwa sawa but muishukuru kweli TFF kuahirisha mechi mara 2 zile 5 zingerudi tena
 
Sasa wewe unataa kusema Azam zile clear chance anakosa alikua anabebwa na Refa?

Hivi hizi Akili unazitoa wapi?

Ulizaliwa na Mwanamke kweli na wewe?

Mfano Azam angekua Makini mngekula 5 Leo ukweli na kingine simba kacheza dakika 10 za mwisho plus zile 5 za nyongeza ila mda Mwingi alikua hafiki golin kwa Azam hapo napo unamlaumu Refa?

Beki yenu mbovu inapitwapitwa tu unamlaumu nalo REFA?

Marefa kutokuitwa Kuchezesha Afcon isiee kichaka cha kuwalaumu kila kitu kua eti wabovu wana maamuzi mabovu.
 
Hawa marefa ni wabovu kwa vyovyote ilivyo
 
Ft Simba(mwenyeji) 1 Azam(Mgeni) 1.

Ndio matokeo ya mwisho pale dimba la CCM Kirumba Mwanza.Hatimaye baada ya danadana za muda mrefu leo kiporo kimeliwa pale Mwanza huku kukiwa hakuna wa kumtambia mwenzake.

Huu ni mchezo ambao uligubikwa na makandokando mengi tu kutoka kwa TFF kwa lengo la kuwapa faida Simba lakini bado wameishia kupata droo.

Since mchezo umehairishwa Simba wamebadili makocha, Simba wamefanya usajili wa baadhi ya wachezaji na hili ndio lilikua lengo kuu la Tff kuhakikisha Simba wanafanya sajili ili kuwaepusha na kipigo kingine kikali kama kile kutoka kwa Yanga na lengo lao limefanikiwa kwa Simba kuishia kupata droo.

Kwa sayansi yangu ya mpira nina hakika ile Simba waliotoka kula bakora tano wangekutana na Azam kipindi kile wangekula si chini ya goli 3, wawashukuru sana ndugu zao Tff.

Ninashauri kwa upendo walionao Tff kwa Simba mechi ya mzunguko wa pili Simba wapewe miezi 6 kabisa ya kujiandaa.
Unavyoishobokea Simba mwaka huu lazima tutakutoa marinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaahira wenu ndio huu vijana wa mangungu, Azam kawazidi Kila kitu wangekuwa na match fitness mngekula gongo 3 Leo shukuruni wametoka mapumziko awakuwa sawa but muishukuru kweli TFF kuahirisha mechi mara 2 zile 5 zingerudi tena
Akili mavi/kinyesi

Sasa km hana match fitness inakuaje kazidi kila kitu.

Kazidi kila kitu halafu asishinde mechi?

Shule mlienda kusoma ujinga?
Screenshot_20231231-222055.jpg
 
Back
Top Bottom