Kauli mbiu iwe " wote mpaka fainali inawezekana"

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Ndio timu zetu mbili Yanga na Simba zinakibarua kigumu kwani zimepangwa na vigogo wa Soka la Afrika MasandawanaMamelod na Al Ahly mtawalia.

Ndio wakati wa Afrika na Dunia kuitambua Tanzania, ndio wakati wa mawakala kuja Tanzania na kusaka vipaji, ni wakati wa kuweka rekodi za Kidunia.

Kwenye mpira kila kitu ni Possible as longer wote mpo 11 kwa waliocheza mpira wanalifahamu hili.

Yanga na Simba wakijipanga vizuri wakipanga karata zao vizuri wanaweza kuvuka kwenye hivi Viunzi na kuandikisha rekodi Mpya.

Kama Taifa tuwe wamoja kama mashabiki tuwe wamoja ni michezo miwili tu ya kuandikisha historia I mean home and away.

Nini cha kufanya kumbe.

1. Kuwe na maandalizi ya nguvu kwa timu zetu kuelekea michezo hiyo na kuhakikisha hapa nyumbani jamaa wanaacha pointi.

2. Tff/Serikali kuingilia kati kwa kuwakutanisha wasemaji wa timu zote Yanga na Simba na wapige hamasa kubwa kwa mashabiki tujitokeze pale Lupaso bila kujali itikadi zetu yaani gemu ya Yanga mashabiki wa Simba tutimbe kwa wingi and vice versa is true.

3. Wachambuzi feki waonywe mapema kuachana na mirengo yao ya kiitikadi na mambo ya Tanzania yaishie hapa kuna wachambuzi wamejaa viherehere sana hawana uzalendo kama wenzetu waarabu.

Ikitokea mpira umechezwa nje ya uwanja watulie tuli hawachelewi kuandika barua Fifa/Caf.

4.Mabenchi ya ufundi wapeane mbinu Yanga wamecheza na Al Ahly wanafahamu ubora wao na udhaifu wao washare material na Simba kama watahitaji msaada.

5.Mashabiki tuchukulie kama mechi ya Taifa Stars tuondoe tofauti zetu na baada ya hiyo michezo utani wetu uendelee kama kawa.

NI WOTE WAWILI MPAKA FAINALI.
 
Kimuhe muhe na Kiherehere hiki hakitavuka 'Pasaka na Eid'..!

Kutakuwa kumeshatulia, we will be back to our Beloved NBC League.

Hawa kulwa na Doto hawaombeani Mema hata Siku Moja...!
 
Sisi kama Yanga hatuko tayari kutumika kama migongo ya watu kujipatia umaarufu. Kila mtu abebe msalaba wake
 
Attachments

  • Screenshot_20240228_155538_Instagram.jpg
    Screenshot_20240228_155538_Instagram.jpg
    73.3 KB · Views: 1
Shida ya Tanzania tunaacha kuandaa timu tunahamia kwenye kauli mbiu na hamasa. Kauli mbiu yako inacheza namba ngapi?
 
Ndio timu zetu mbili Yanga na Simba zinakibarua kigumu kwani zimepangwa na vigogo wa Soka la Afrika MasandawanaMamelod na Al Ahly mtawalia.

Ndio wakati wa Afrika na Dunia kuitambua Tanzania, ndio wakati wa mawakala kuja Tanzania na kusaka vipaji, ni wakati wa kuweka rekodi za Kidunia.

Kwenye mpira kila kitu ni Possible as longer wote mpo 11 kwa waliocheza mpira wanalifahamu hili.

Yanga na Simba wakijipanga vizuri wakipanga karata zao vizuri wanaweza kuvuka kwenye hivi Viunzi na kuandikisha rekodi Mpya.

Kama Taifa tuwe wamoja kama mashabiki tuwe wamoja ni michezo miwili tu ya kuandikisha historia I mean home and away.

Nini cha kufanya kumbe.

1. Kuwe na maandalizi ya nguvu kwa timu zetu kuelekea michezo hiyo na kuhakikisha hapa nyumbani jamaa wanaacha pointi.

2. Tff/Serikali kuingilia kati kwa kuwakutanisha wasemaji wa timu zote Yanga na Simba na wapige hamasa kubwa kwa mashabiki tujitokeze pale Lupaso bila kujali itikadi zetu yaani gemu ya Yanga mashabiki wa Simba tutimbe kwa wingi and vice versa is true.

3. Wachambuzi feki waonywe mapema kuachana na mirengo yao ya kiitikadi na mambo ya Tanzania yaishie hapa kuna wachambuzi wamejaa viherehere sana hawana uzalendo kama wenzetu waarabu.

Ikitokea mpira umechezwa nje ya uwanja watulie tuli hawachelewi kuandika barua Fifa/Caf.

4.Mabenchi ya ufundi wapeane mbinu Yanga wamecheza na Al Ahly wanafahamu ubora wao na udhaifu wao washare material na Simba kama watahitaji msaada.

5.Mashabiki tuchukulie kama mechi ya Taifa Stars tuondoe tofauti zetu na baada ya hiyo michezo utani wetu uendelee kama kawa.

NI WOTE WAWILI MPAKA FAINALI.
Nakuunga mkono
 
2 na 4 ni visu hatari,visitumiwe hata kidogo na hizi timu uchwara zinazo shinda game zao magazetini.
 
Yaan mimi kabisa nivae ile jezi ya uto halafu nika wapigie kelele eti uto wafuzu nusu hehehe hiyo ni ndoto nadhani tena ndoto ya kutisha.
Acha vyura wapigwe tu usiwaonee huruma mjomba.
 
Back
Top Bottom