Almanusura Prison wawalipie Jwaneng Galaxy deni lao

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Ft. Tz Prison 2 Simba 1(mwenyeji)

Ni kama Prison walisikia kilio cha Kocha wa Galaxy Morena Ramoreboli dhidi ya michezo michafu waliyofanyiwa na Simba anzia ulonzi mpaka uwizi wa vifaa vyao.

Baada ya dakika 90 pale Morogoro hatimaye Prison wameifunga timu bora ya Caf wakiwa na mchezaji wao bora wa Caf Ndg Chama kichapo cha goli 2.

Kama Prison wangekua imara leo sio ajabu ile rekodi ya goli tano za Yanga ingevunjwa leo, Jiulize kama Prison wamepiga mashuti 2 tu na yote yamejaa nyavuni je wangepiga mashuti 8 bila shaka yote yangempita dobo nyanda la dunia Manula.

Prison walikuja na mpango wa kuzuia kipindi cha pili na bado wakapata goli kama wangeendelea kucheza kama kipindi cha kwanza ingekua mechi ya rekodi tu kwa magoli mengi.

Simba wanapenda mambo ya kiswahili mnoo assume wamekimbia uwanja wa Azam chamanzi, wamekimbia uwanja wa Ccm Kirumba mwanza na sio ajabu wakaukimbia tena uwanja wa Morogoro sijui mwelekeo utakua wapi sasa.
 
Kiredio
 
Attachments

  • FB_IMG_17097394475222637.jpg
    FB_IMG_17097394475222637.jpg
    144.6 KB · Views: 2
Simba ni kikundi tu cha wachawi. Hatuna timu pale. Timu gani imejaa vibabu ambavyo miaka nenda havitaki kuwaachia vijana nafasi zao!
 
Ft. Tz Prison 2 Simba 1(mwenyeji)

Ni kama Prison walisikia kilio cha Kocha wa Galaxy Morena Ramoreboli dhidi ya michezo michafu waliyofanyiwa na Simba anzia ulonzi mpaka uwizi wa vifaa vyao.

Baada ya dakika 90 pale Morogoro hatimaye Prison wameifunga timu bora ya Caf wakiwa na mchezaji wao bora wa Caf Ndg Chama kichapo cha goli 2.

Kama Prison wangekua imara leo sio ajabu ile rekodi ya goli tano za Yanga ingevunjwa leo, Jiulize kama Prison wamepiga mashuti 2 tu na yote yamejaa nyavuni je wangepiga mashuti 8 bila shaka yote yangempita dobo nyanda la dunia Manula.

Prison walikuja na mpango wa kuzuia kipindi cha pili na bado wakapata goli kama wangeendelea kucheza kama kipindi cha kwanza ingekua mechi ya rekodi tu kwa magoli mengi.

Simba wanapenda mambo ya kiswahili mnoo assume wamekimbia uwanja wa Azam chamanzi, wamekimbia uwanja wa Ccm Kirumba mwanza na sio ajabu wakaukimbia tena uwanja wa Morogoro sijui mwelekeo utakua wapi sasa.
ulonzi ndio nini?
 
Back
Top Bottom