John Nobble wa Namungo, Yanga na Azam ni tofauti na yule wa Simba

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
John Nobble golikipa mnaijeria aliyefunga safari kutoka kilometa nyingi jimbo la Abba yalipo makao makuu ya timu ya Enyimba mpaka kwa warina asali wa Tabora united kaniachia maswali mengi sana.

Baada ya ile gemu ya Simba nikajipa muda wa kumsoma Nobble kwa gemu za mbeleni, ukiacha ile gemu ya nyuma ya Yanga aliyoonyesha kiwango maridadi kabisa.

Baada ya kumsoma gemu mbili dhidi ya Namungo matokeo yalikua sare ya kutofungana na leo dhidi ya Azam pia sare ya kutofungana.

Hitimisho ile gemu ya Simba dishi lilichezeshwa gemu ile Nobble alikua na kiwango cha mashaka ukiangalia michomo anayookoa kwa hizo gemu tatu dhidi ya Yanga, Azam na Namungo kwa kifupi yale magoli ya Simba yalipikwa maabara/ artificial.

Baada ya gemu ile hebu jiulize wale washambuliaji wawili wa Simba waliotupia wamepotelea wapi? baki na jibu lako.

Mpira wetu una madudu mengi mnoo tunafahamu Tabora nani yupo pale asingekubali vijana wake wa zamani waondoke na aibu.
 
Labda mechi ya Simba ilikua siku mbaya kazini
 
Azam hawajapiga shuti lililolenga goli hata moja golini kwa Tabora halafu unamsifu John Noble kwa kucheza vizuri.Nikadhani huko utopoloni idadi aliyosema Manara imeongezeka kumbe nimejidanganya.
 
Attachments

  • Screenshot_20240219-211720.png
    Screenshot_20240219-211720.png
    821.1 KB · Views: 1
Ila kusema ukweli watoto wa mwisho huwa wanapenda sana kudeka! Na pia mara nyingi wanapendwa sana na wazazi wao ukilinganisha na watoto wa kwanza.
 
Azam hawajapiga shuti lililolenga goli hata moja golini kwa Tabora halafu unamsifu John Noble kwa kucheza vizuri.Nikadhani huko utopoloni idadi aliyosema Manara imeongezeka kumbe nimejidanganya.
Na ile ya Yanga vipi na ile ya Namungo vipi? Halafu linganisha na ile ya Simba masta.
 
Umeshaonesha huwa huangalii mechi bali huwa unakimbilia kupost tu hivyo sina haja ya kujisumbua.Nyie ndio mnaongoza kwa kubebwa,kumbuka Kagera walikataliwa goli halali dhidi yenu,kumbuka pia kadi nyekundu ya Mayombya imefutwa,hii maana yake Mwamnyeto alitakiwa kupewa kadi nyekundu achilia mbali vipepsi vya Aucho
 
John Nobble golikipa mnaijeria aliyefunga safari kutoka kilometa nyingi jimbo la Abba yalipo makao makuu ya timu ya Enyimba mpaka kwa warina asali wa Tabora united kaniachia maswali mengi sana.

Baada ya ile gemu ya Simba nikajipa muda wa kumsoma Nobble kwa gemu za mbeleni, ukiacha ile gemu ya nyuma ya Yanga aliyoonyesha kiwango maridadi kabisa.

Baada ya kumsoma gemu mbili dhidi ya Namungo matokeo yalikua sare ya kutofungana na leo dhidi ya Azam pia sare ya kutofungana.

Hitimisho ile gemu ya Simba dishi lilichezeshwa gemu ile Nobble alikua na kiwango cha mashaka ukiangalia michomo anayookoa kwa hizo gemu tatu dhidi ya Yanga, Azam na Namungo kwa kifupi yale magoli ya Simba yalipikwa maabara/ artificial.

Baada ya gemu ile hebu jiulize wale washambuliaji wawili wa Simba waliotupia wamepotelea wapi? baki na jibu lako.

Mpira wetu una madudu mengi mnoo tunafahamu Tabora nani yupo pale asingekubali vijana wake wa zamani waondoke na aibu.
Mimi naona kufunga mjadala kipa bora ni wa ihefu!
 
KMC na YANGA ,KMC na SIMBA ukiangalia hizi mechi pamoja na ya Tabora na hizo timu ndio utajua Mpira wa Tanzania hauendelei kamwe
 
John Nobble golikipa mnaijeria aliyefunga safari kutoka kilometa nyingi jimbo la Abba yalipo makao makuu ya timu ya Enyimba mpaka kwa warina asali wa Tabora united kaniachia maswali mengi sana.

Baada ya ile gemu ya Simba nikajipa muda wa kumsoma Nobble kwa gemu za mbeleni, ukiacha ile gemu ya nyuma ya Yanga aliyoonyesha kiwango maridadi kabisa.

Baada ya kumsoma gemu mbili dhidi ya Namungo matokeo yalikua sare ya kutofungana na leo dhidi ya Azam pia sare ya kutofungana.

Hitimisho ile gemu ya Simba dishi lilichezeshwa gemu ile Nobble alikua na kiwango cha mashaka ukiangalia michomo anayookoa kwa hizo gemu tatu dhidi ya Yanga, Azam na Namungo kwa kifupi yale magoli ya Simba yalipikwa maabara/ artificial.

Baada ya gemu ile hebu jiulize wale washambuliaji wawili wa Simba waliotupia wamepotelea wapi? baki na jibu lako.

Mpira wetu una madudu mengi mnoo tunafahamu Tabora nani yupo pale asingekubali vijana wake wa zamani waondoke na aibu.
Hebu tuelezee na Wilbroad Maseke kwanza
 
Back
Top Bottom