Search results

  1. Troubleshooter

    Mtaalamu wa kutengeneza software anahitajika

    Je wewe ni kijana mwenye kipaji na uwezo wa kutengeneza systems mbalimbali za kielektroniki kwa ubora wa hali ya juu? Karibu ujiunge nasi GSTAR SERVICES ili tuweze kuunganisha mawazo na kutengeneza mfumo kwa malengo ya kibiashara, kama unakumbana na changamoto za kimfumo na kimtandao...
  2. Troubleshooter

    Tunatoa huduma za ki ICT, mteja utafuatwa popote pale ulipo.

    Habari sisi ni kampuni tuliobobea kwenye utengenezaji wa Computer, na kutoa huduma za ki ICT kwa bei rafiki. Karibu tukuhudumie huduma zetu zipo kwenye hiki kipeperushi chetu. Karibu tukuhudumie.
  3. Troubleshooter

    Tunachapa vitabu, mabango, brochures kwa bei nafuu

    Habari GStar publishers ni kampuni inayojihusisha na uchapaji wa vitabu, mabango, brochures na business cards kwa bei nafuu. Tunapatikana Kariakoo mtaa wa Jangwani au tupigie kwa simu. 0719682352. Unapata kazi kwa uharaka na kwaubora wa hali ya juu, vitabu tunaprinti kuanzia kopi 10 na...
  4. Troubleshooter

    Natafuta mtafsiri wa vitabu

    Habari zenu, mimi ni mwandishi wa vitabu, natafuta mtafsiri wa vitabu vyangu kutoka Kiswahili kwenda lugha ya Kiingereza, malipo kwa makubaliano maalum. Nicheki PM kwa mawasiliano zaidi.
  5. Troubleshooter

    Job Vacancy at Helasita Secondary School

    JOB VACANCY TO BE FILLED SCHOOL BACKGROUND Helasita Secondary School is a boys’ secondary school located at Mtoni Kijichi, in Temeke Municipality, Dar Es Salaam, Tanzania. The school is registered with registration Number S. 4891 and follows the Tanzania’s National Curriculum. Helasita...
  6. Troubleshooter

    Tuliosoma chuo tukatoka patupu tukutane

    Wakuu habari? Mimi mwenzenu nikiri wazi kuwa nilisoma chuo kikuu cha Taifa cozi ikiwa ni Computer Science lakini nilitoka half cooked sikuwa nimeiva kabisa na hii ikanipa wakati mgumu sana kwenye kusaka ajira. Sababu: Waalimu wengi waliokuwa wakitufundisha walikuwa wanatufundisha katika mfumo...
  7. Troubleshooter

    INAUZWA Nauza king'amuzi cha DSTV

    Kichwa cha habari chahusika nauza dstv decorder set kwa Tsh. 70,000/- but inapungua kwa maelewano kwa anayehitaji anicheki kwa namba 0625544781 Napatikana Dar es Salaam
  8. Troubleshooter

    Alikiba V/s Diamondplatnumz

    Piga kura yako tumalize ubishi kati ya Alikiba na Diamondplatnumz nani ana mashabiki wengi?
  9. Troubleshooter

    Njoo tuunganishe nguvu

    Nahitaji mdau ambaye ataniungamkono katika hili. Mimi ni IT specialist ninauwezo wa kutengeneza website ya online store itakayo weza kufanya mauzo ya haraka kwa bidhaa mbalimbali hapa nchini Tanzania. Kama umependa hili wazo njoo tuunganishe nguvu wewe utoe finance mimi nitoe ujuzi then mwisho...
  10. Troubleshooter

    Msaada wa ajira kwa mtu mwenye diploma ya kilimo

    Habari wakuu, Nina mdogo wangu ana diploma ya kilimo hivyo nilikuwa nawaomba wadau kama kuna mtu au kampuni binafsi ambaye anaweza kumuajiri kwa namna yoyote ile anaweza akafanya ofisini shambani au dukani kuuza bidhaa za kilimo jinsia yake ni ya kike kwa atakaye hitaji kumsaidia tuwasiliane inbox.
  11. Troubleshooter

    Mwalimu wa ICT anapatikana

    Muda wowote Mwalimu anapatikana kufundisha part time ama full time. Wale kwenye watoto majumbani, mwanao atafundishwa level zote za matumizi ya computer na program zake Anapatikana Dar es Salaam
  12. Troubleshooter

    Epuka virus, tumia mfumo huu kwenye computer yako

    Watu wengi wanasumbuliwa na virus kwenye computer zao. Zipo njia nyingi za kujiepusha na virus vinavyo shambulia computer moja ya njia hizo ni kitumia mfumo endeshi wa UBUNTU. UBUNTU ni mfumo kama ilivyo windows (window 7, xp nk) Faida kubwa ya Ubuntu ni kuwa haiathiriwi kabisa na virus, faida...
  13. Troubleshooter

    Computer4Sale Nauza Laptop aina ya Dell

    Nauza laptop Dell HDD.......320gb Processor....core i3 RAM...........4gb Iko kwenye hali nzuri Bei 350,000/- Maelewano pia yapo. Kwa maelezo zaidi PM
  14. Troubleshooter

    Anahitajika mkalimani wa Kichina na kiswahili

    Wadau kwa ambaye anafahamu mtu anayejua lugha ya kichina na kiswahili kuna kazi ya kutafsiri katika maeneo ya migodini. Tafadhali ni pm kwa maelezo zaidi.
  15. Troubleshooter

    IT proffesional looking for job

    Habari wakuu, hopefully mko vizuri na mnaendelea na michakariko ya maisha sehemu mbalimbali za nchi yetu mkilisukuma gurudumu lamaendeleo. Mimi ni kijana mwenzenu ninaye tafuta ajira. nina degree ya Computer Science kutoka udsm, nimesha wahi kuajiriwa kama ICT officer kwenye institution kadhaa...
  16. Troubleshooter

    Natafuta mchumba ili baadaye aje kuwa mke

    Habari wana JF, Mimi ni kijana wa kitanzania niliyejitokeza kwenye jukwaa hili nikiamini kuwa upo uwezekano mkubwa wa kukutana na life partner katika jukwaa hili. Sababu kubwa iliyo nifanya nitumie jukwaa hili ni kuwa wapo watumiaji wengi wa aina tofauti na wengine wenye uhitaji wa kupata...
Back
Top Bottom