Msaada wa ajira kwa mtu mwenye diploma ya kilimo

Troubleshooter

Senior Member
Mar 30, 2016
112
111
Habari wakuu, Nina mdogo wangu ana diploma ya kilimo hivyo nilikuwa nawaomba wadau kama kuna mtu au kampuni binafsi ambaye anaweza kumuajiri kwa namna yoyote ile anaweza akafanya ofisini shambani au dukani kuuza bidhaa za kilimo jinsia yake ni ya kike kwa atakaye hitaji kumsaidia tuwasiliane inbox.
 
Back
Top Bottom