Epuka virus, tumia mfumo huu kwenye computer yako

Troubleshooter

Senior Member
Mar 30, 2016
112
111
Watu wengi wanasumbuliwa na virus kwenye computer zao. Zipo njia nyingi za kujiepusha na virus vinavyo shambulia computer moja ya njia hizo ni kitumia mfumo endeshi wa UBUNTU.

UBUNTU ni mfumo kama ilivyo windows (window 7, xp nk) Faida kubwa ya Ubuntu ni kuwa haiathiriwi kabisa na virus, faida nyingine ni kwamba huhitaji Ku format PC yako ili uweze kutumia UBUNTU utaweza kutumia mifumo yote miwili kwa pamoja ( windows na Ubuntu)

Mfumo huu unafaa kwa mtu yoyote binafsi au maofisini.
Gharama za kuwekewa mfumo huu ni Tsh 20,000/ pia utapewa training bure ni jinsi gani ya kutumia mfumo huu na pia ni kwajinsi gani utaweza ku-clean flash disc zilizo athiriwa na virus kutokana kwenye windows kwa kutumia mfumo huu wa Ubuntu.
Huduma hii utaletewa popote ulipo kwa mawasiliano nicheki 0625544781
 
Safi hivi ni ant-virus gani kwa sasa ni nzuri zaid kwenye computer ukiacha hizi zinazojulikana ambayo nitaweka mwaka mzima
 
Kama unatumia windows xp au 7 na specs za pc yako ni nzuri kidogo basi Weka windows 10... wana anti virus Yao (defender ) iko secure sana kwa matumizi ya kila siku ... ni free na friendly maana ni ya kwao Microsoft
 
Kutumia Ubuntu ni kama kufanya adhabu mkuu better nibaki kwenye windows kwanza maana Ubuntu niliona inanipotezea time sana
 
Nilisha wahi kutumia Ubuntu ni mfumo mzuri japo inahitaji training ya jinsi ya kutumia nawashauri wadau wajaribu mfumo huu kama wanasumbuliwa na matatizo ya virus kwenye computer zao
 
Watu wengi wanasumbuliwa na virus kwenye computer zao. Zipo njia nyingi za kujiepusha na virus vinavyo shambulia computer moja ya njia hizo ni kitumia mfumo endeshi wa UBUNTU.

UBUNTU ni mfumo kama ilivyo windows (window 7, xp nk) Faida kubwa ya Ubuntu ni kuwa haiathiriwi kabisa na virus, faida nyingine ni kwamba huhitaji Ku format PC yako ili uweze kutumia UBUNTU utaweza kutumia mifumo yote miwili kwa pamoja ( windows na Ubuntu)

Mfumo huu unafaa kwa mtu yoyote binafsi au maofisini.
Gharama za kuwekewa mfumo huu ni Tsh 20,000/ pia utapewa training bure ni jinsi gani ya kutumia mfumo huu na pia ni kwajinsi gani utaweza ku-clean flash disc zilizo athiriwa na virus kutokana kwenye windows kwa kutumia mfumo huu wa Ubuntu.
Huduma hii utaletewa popote ulipo kwa mawasiliano nicheki 0625544781
Nani kasema kuwa Ubuntu haiathiriwi Na virus ??
 
Back
Top Bottom