Mwalimu wa ICT anapatikana

Troubleshooter

Senior Member
Mar 30, 2016
112
111
Muda wowote Mwalimu anapatikana kufundisha part time ama full time.
Wale kwenye watoto majumbani, mwanao atafundishwa level zote za matumizi ya computer na program zake
Anapatikana Dar es Salaam
 
unaweza kumfundisha mtu anayesoma IT diploma.. maana zinamsumbua code kinoma..!
 
  • Thanks
Reactions: DBA
Back
Top Bottom