INAUZWA Nauza king'amuzi cha DSTV

Troubleshooter

Senior Member
Mar 30, 2016
112
111
Kichwa cha habari chahusika nauza dstv decorder set kwa Tsh. 70,000/- but inapungua kwa maelewano kwa anayehitaji anicheki kwa namba 0625544781
Napatikana Dar es Salaam
 
Issue sio kukimiliki issue ni malipo ya mwezi ndugu siku za kwanza utajitutumua , picha clear kweli kweli lakini baada ya miezi mitatu .....maweeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom