Troubleshooter
Senior Member
- Mar 30, 2016
- 112
- 111
Nahitaji mdau ambaye ataniungamkono katika hili. Mimi ni IT specialist ninauwezo wa kutengeneza website ya online store itakayo weza kufanya mauzo ya haraka kwa bidhaa mbalimbali hapa nchini Tanzania.
Kama umependa hili wazo njoo tuunganishe nguvu wewe utoe finance mimi nitoe ujuzi then mwisho wasiku mambo yakiwa mazuri wote kwa pamoja tutabenefit. Nakaribisha ushauri na mawazo zaidi.
Kama umependa hili wazo njoo tuunganishe nguvu wewe utoe finance mimi nitoe ujuzi then mwisho wasiku mambo yakiwa mazuri wote kwa pamoja tutabenefit. Nakaribisha ushauri na mawazo zaidi.