Search results

  1. samirnasri

    Mmiliki wa shule ya Martin Luther jijini Dodoma kawageuza wazazi kitega uchumi, anatakiwa kushitakiwa

    Kwa wakazi wa Dodoma jina Martin Luther sio geni unapozungumzia suala zima la elimu. Ni shule iliyopo eneo la kisasa njia ya kuelekea Dar es Salaam. kwa ujumla shule ina mazingira ya kuvutia kwa muonekano wa nje. Kwa upande wa taaluma pia imekuwa miongoni mwa shule bora mkoani Dodoma ikiwa...
  2. samirnasri

    Waliopokea Katiba pendekezwa wasotea posho Dodoma

    Habari za uhakika ni kwamba wale watanzania wenye uchungu na nchi yao waliosafirishwa kutoka mikoani kwenda Dodoma kuipokea katiba pendekezwa bado hawajalipwa posho zao. Wazalendo hao walipaswa kuondoka Leo asubuhi kurudi walikotoka lakini mpaka muda huh wamekusanyika kwenye viwanja Vya bunge...
  3. samirnasri

    Shibuda akodi mabasi kepeleka wananchi Dodoma

    Mbunge Wa Maswa John Shibuda anadaiwa kukodi mabasi kupeleka wananchi mkoani Dodoma kushuhudia tukio la rais kukabidhiwa katiba Inayopendekezwa. habari za uhakika zinasema shibuda amekodi Manado matatu, moja la Ally's na mawili ya hokkas. taarifa zaidi zinasema wananchi wameletwa kutoka kila...
  4. samirnasri

    Academic staffs - udom kazi hizo

    Nafasi za kazi kwa wana taaluma hizo kazi kwenu sasa
  5. samirnasri

    Mbatia aunga mkono ongezeko la pensheni ya wabunge

    Mwenyekiti wa nccr mageuzi ambaye pia ni mbunge wa kuteuliwa ameunga mkono hatua ya wabunge kuongezewa pensheni kutoka 43m iliyolipwa mwaka 2010 na kufikia 160m. Amesema mtu analipwa kutokana na kazi anayoifanya. Source: BBC- Swahili via star tv
  6. samirnasri

    Nikila maharage na baadaye nikienda kujisaidia yanatoka maharage mazimamzima tatizo nini

    Naombeni msaada nina siku kama nne nikienda haja kubwa maharage yanatoka mazima
  7. samirnasri

    DK. William Mgimwa

    Naomba kujua Dk William Mgimwa ana PhD ya nini maana profile yake inaonesha kiwango cha juu cha elimu alichofikia ni masters degree. Naomba kujua kama ni phd ya heshima au ya kitu gani.
  8. samirnasri

    Star tv na habari kwa kina....wameishiwa?

    katika habari kwa kina ya leo tarehe 16/9/2012 star tv wameonesha habari iliyohusu historia ya maisha ya mwigulu mchemba tangu alipozaliwa akiwa mtoto wa mfugaji na baadae alipoenda shule ya msingi na safari yake ya kisiasa mpaka wakati huu anapokula maisha kama mheshimiwa mbunge. Makala hiyo...
  9. samirnasri

    Gazeti la mtanzania la tarehe 29/06/2012 - SOMA TAFADHALI

    Leo tarehe 29/06/2012 asubuhi mishale ya saa moja na nusu asubuhi nilikuwa naangalia mapitio ya magazeti katika televisheni ya ATN ambapo kelvin moto alikuwa akisoma mapitio ya magazeti. Alianza na gazeti la mtanzania na habari iliyokuwa kwenye ukurasa wa mbele ilisomeka siri ya kutekwa dk...
  10. samirnasri

    Ziara ya CHADEMA mikoa ya kusini yawatesa wabunge wa CCM

    ziara iliyofanywa na CHADEMA katika mikoa ya lindi na mtwara imegeuka kuwa mwiba mkali kwa wabunge wa ccm ambao majimbo yao yalipitiwa na kimbunga cha ziara hiyo yenye lengo la kuleta mabadiliko katika mikoa ya kusini. Wabunge wawili wa mkoa wa mtwara Abdallah Mtutula na Jerome Dismas Bwanaausi...
  11. samirnasri

    Azikwa akiwa hai Mbeya

    UKISTAAJABU ya Mussa utayaona ya Firauni, ndivyo unavyoweza kusema baada ya wakazi wa Kitongoji cha Itezi Magharibi, Kata ya Itezi, jijini Mbeya, kuamua kumzika mwenzao akiwa hai. Wananchi hao wanaodaiwa kuwa na hasira kali walifikia hatua hiyo ya kutisha, kuhuzunisha na kusikitisha kwa...
  12. samirnasri

    Mada Maugo jiuzulu ubondia! Fuata nyayo za Tyson!!!

    Nimeona habari tbc inasema Cheka kaibuka na ubingwa katika pambano la jana dhidi ya Mada Maugo. Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi hicho ni kipigo cha tatu mfululizo mada anakipata kutoka kwa Francis Cheka. Mara mbili zilizopita Maugo alilalamika kwamba cheka alipendelewa na majaji na waamuzi...
  13. samirnasri

    Slaa awajibu polisi

    amwataka kabla hawajamkamata wamkamate kwanza OCD ambaye alishirikishwa kikamilifu wakati Wabunge wa chadema wakishambuliwa star tv
  14. samirnasri

    Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

    Ni kwa kutoa kauli za uchochezi katika mikutano ya hadhara Mwanza na geita. Polisi wanasema alitoa vitisho kwa serikali kwa kuipa serikali siku 3 iwatibu wabunge wa chadema walioshambuliwa na kulipa jeshi la polisi siku 7 likamilishe uchunguzi kwa sakata hili. Kauli hiyo inasemwa ni kinyume na...
  15. samirnasri

    Tundu Lissu ana deni kubwa jimboni, achukue tahadhari!

    Juzi nilikutana na rafiki yangu mmoja ambaye ni msomi wa shahada ya uzamili kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam na ni mzaliwa wa Singida Mashariki, jimbo linaloongozwa na Lissu. Tukiwa safarini tulianza kusimuliana mambo mbalimbali yaliyokuwa yamejiri bungeni jana yeke. Nilimsimulia rafiki yangu...
  16. samirnasri

    OLE Millya aondoka na sh milioni mbili za UVCCM

    kwa mujibu wa Mrisho Gambo; Milya ameondoka na pesa hizo ambazo zilikuwa za kuanzisha saccos ya UVCCM. Amemtaadharisha Mbowe kuwa Millya ni tapeli..... Sielewi ni kwa nini wamekaa na tapeli muda wote huo bila kumchukulia hatua ina maana CCM wanafuga matapeli? source: ITV news
  17. samirnasri

    Dawa ya CCM ni kulinda kura!!

    Nimeamini ccm wamekua na tabia ya kuchakachua matokeo pale wanapoachiwa mwanya wa kufanya hivyo lakini wakikabwa koo kama walivyofanya vijana wa arumeru kwenye uchaguzi wa juzi, au walivyofanya vijana wa mwanza, mbeya, Arusha, dar n.k kwenye uchaguzi wa mwaka juzi ccm hawachomoki. Wana arumeru...
  18. samirnasri

    Kambi ya Samuel Sitta na Mwakyembe yapata pigo kubwa!!!!

    Kambi ya wale wanaojiita wapambanaji dhidi ya ufisadi ndani ya chama tawala cha CCM imepata pigo kubwa kufuatia matokeo ya uchaguzi wa ubunge jimbo la arumeru mashariki na chaguzi za udiwani katika kata 8 tofauti. Kambi hiyo ilitoa wafuasi wake watatu kushiriki katika kampeni za chaguzi hizo...
  19. samirnasri

    Lowassa, Sitta, Kilango wapata pigo kubwa!!!!

    Kambi ya wale wanaojiita wapambanaji dhidi ya ufisadi ndani ya chama tawala cha CCM imepata pigo kubwa kufuatia matokeo ya uchaguzi wa ubunge jimbo la Arumeru mashariki na chaguzi za udiwani katika kata 8 tofauti. Kambi hiyo ilitoa wafuasi wake watatu kushiriki katika kampeni za chaguzi hizo...
  20. samirnasri

    Gazeti la uhuru laandika "mchuano mkali ccm, chadema

    katika hali isiyokuwa ya kawaida gazeti la ccm limeshindwa kuandika habari ya kuipa ccm uwezekano mkubwa wa kushinda kama ilivyo kawaida yake badala yake limeandika mchuano ni mkali kati ya ccm na chadema.
Back
Top Bottom