samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 217
Habari za uhakika ni kwamba wale watanzania wenye uchungu na nchi yao waliosafirishwa kutoka mikoani kwenda Dodoma kuipokea katiba pendekezwa bado hawajalipwa posho zao.
Wazalendo hao walipaswa kuondoka Leo asubuhi kurudi walikotoka lakini mpaka muda huh wamekusanyika kwenye viwanja Vya bunge wakisubiri chao.
Nimezungumza na mzalendo mmoja aliyesafiri kutoka Mwanza anasema bado wanazungushwa wanasubiri posho zao waondoke.
Umbali Wa kutoka Dodoma kwenda Mwanza ni masaa Tisa mpaka kumi. Kama watafanikiwa kuondoka sa Tisa watafika Mwanza sa sita au sa saba usiku.
Mpaka muda huu saa nane na dakika27 bado hawajaondoka.