Search results

  1. L

    Ndoa ya Flaviana Matata

    Jamani super modo Leo ni wedding yake. Anaolewa na nini, mbona kafichwa hivyo.. Au mume ya mutu? ======== Hatimaye mwanamitindo wa kimataifa, Flaviana Matata amekuwa Mrs Massawe. Flavy na mpenzi wake wa siku nyingi Deogratius Massawe wamefunga pingu za maisha Jumamosi ya August 15, 2015...
  2. L

    Miss Ukonga 2013 afariki dunia

    Jamani kuna mahali nimesoma kuwa miss Ukonga 2013 Martha Gewe kafariki dunia. So sad, Rest in peace Martha.
  3. L

    working visa

    wadau shaikamooni(marahaba) nombeni msaada. nini Rafiki yangu niko nae huku UK ni mzungu raia wa uingereza na anataka kuja Tanzania for 6 wkks je swali ni kwamba Visa ataipatia pale Airport au aendee tu Ubalozini? Asanteni sana
  4. L

    ndoto za ngono

    Jamani msaada, mimi uwaninaota mara kwa mara nafanya mapenzi na mwanamke mwenzangu na ninapata utamu kuliko nikidoo na my husband, nifanyeje jamani as I love my hubby na nina 2 kids, help
  5. L

    usafiri wa ndege ndani ya Tanzania

    jamani kwenda Arusha kwa ndege 450,000 the cheapest flight NOV 12 na iko hadi ya 1.5 milion kwenda Arusha tu na kurudi ukitokea dar! hivi watz tunaisha dunia ya ngapi? travelstart.co.tz.. hii nchi hapana na wanasema walioko nje muje mukainverst nyumbani there so no way better mamtoni its...
  6. L

    handsome boyz

    niko na swali, hivi most of handsome boyz are gayz? just asking
  7. L

    I thought the NHCTZ meant to build afordable houses for tanzanian people

    PROPERTY SELLING PRICE The minimal selling price for one apartment is TZS 175,314,366.48 VAT exclusive, the highest bidder who will be able to meet all necessary condition as listed below stands a high chance to win. please see link Meru Residential Apartments: Arusha jamani kwa mwendo huu...
  8. L

    looking for a holiday home

    wanaJF pls naomba basi munisaidie na hii. mimi naishi ughaibuni na nataka kuja home for xmas, na ningependa kushukia hotelini but is too expensive! hivi kuna hoidays home for a short stay kama mataifa mengine? nimejaribu kuangalia kwenye net but ni zanziba na kenya tu wanaonyesha! pls help if u...
  9. L

    bei za nyumba na plots tanzania

    WAO! INAONEKANA tz NI EXPENSIVE PLACE TO LIVE IN THE WORLD! THIS IS A SHOCKING! BEI ZA NYUMBA NA PLOTS ZINATISHA! ETI UTAKUTA PLOT 500 SQURE METER KIJITONYAMA MILION 15O. 3 BEDROOM HOUSE IN SINZA MILINON200. MBEZI MILION 400, MASAKI , MSASANI OYSTBAY ETC MPAKA BILION JAMANI WHATS GOING ON? IN UK...
  10. L

    nina milioni 200

    wajameni mie nataka kurudi bongo kufanya business, nina mtaji wa kama milion200 hivi, je ni biashara gani ambayo itanifaa? nilikuwa nawaza kufungua warehouse ya kuhuza vitu vya ujenzi lakini sijui pa kuanzia any ideas pls. niko abroad! thanx
  11. L

    natafuta plot ya kujenga.

    WANA JF NATAFUTA PLOT YA KUNUNUA(KUJANGA KAJUMBA) IWE MAENEO YA MBWENI, BOKO, UPANDE WA BAHARINI BUT HATA LAKINI KUSIWE KABISA NA BAHARINI YAANI PAWE TU NA VIEW YA BAHARI HATA KAMA NIKIWEKA HAPO KAGOROFA NIWE NA KAVIEW KIDOGO. KIWE NA TITLE DEED! 1500 HADI 1900 Sq meter. uwezo wangu ni milion 20...
  12. L

    msaada wa kiwanja(plot)

    Hello again wana Jf, nataka kununu kiplot maeneo ya mbweni chenye view ya bahari kwa umbali(likini siyo lazima) kiwe na ukubwa wa sqm 1500 to 1900 uwezo wangu ni mili 25 tu. wenye kujua pls. hata maeneo ya mbezi au boko its ok. upepo muhimu.
  13. L

    holiday in tanzania

    wana Jf mimi nawapenda sana, maanaka kila nikiomba msaada huku wa kitu huwa napata majibu mazuri sana duh bila hii blog sijui ningekuwa wapi. i love this blog a lot than FB. sasa mimi nataka kuja mwezi wa nane bongo naishi USA na niko na family! nitapatate kureny appartment3 bedrooms) nice...
  14. L

    Bei za nyumba na plots Tanzania

    Jamni wana JF mimi hapa niko na swali kuhusu bei za nyumba na viwanja vya kuhuza! Yaani nchi yetu ni ya pili kwa umaskini duniani halafu ukiangalia bei za nyumba zakuhuza na plots its a killer wajameni! Last week nilikuwa naenda na jamaa yangu kuangalia ka plot huko boko! Yaani tulipoambiwa...
  15. L

    Air hostess dar

    JAMANI MIMI NILIKUWA NASAFIRI TOKA DAR KWENDA KENYA SOMETIMES LAST WEEK, NA SHIRIKA LA NDEGE LINALOANZA NA P. JANAMI HAO MA AIR HOSTESS WAKO OVYO SANA, WANAJIONA NI MORE IMPORTANT THAN THE PASSENGERS! THIS IS UNREALLY! THEY DONT SMILE, THEY DONT HELP THE PASSENGERS WITH THE BAGS! YAANI KUNA BIBI...
  16. L

    msaada wa kuanzisha business

    wajameni naomba kamsaada kidogo. mimi niko huku ughaibuni na nimeshabeba mabox vya kutosha , na ningependa kurudi home kufanya biashara, nimejikusanya sana na hapo nilipo nimesave 100, 000pounds! kuna mtu kaniambia ninunua kakiwanja halafu baadae nijenge hapo kaukumbi ka kufanyia sherehe au...
  17. L

    cheap flights from Uk to Dar

    wajameni natafuta cheap flights toka Uk kwenda Dar kwa wale wanaojua. thanx. ni shirika gani ambalo ilna bei nafuu? naweza kusafiri kupiti mombasa pia as long as in cheap! planning to travel January 2011
  18. L

    mramba

    hi warombo sasa ni aje wajameni naona mramba keshawadanganya wazee kule kuwa pesa za ufisaji amejenga nazo bara bara ha ha ha, hivi haya ni ya kweli?:tape:
  19. L

    helloooooooooooooooooooo

    i love jamii forum, thank u 4 taking me in:music:
Back
Top Bottom