natafuta plot ya kujenga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta plot ya kujenga.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by lily, Feb 3, 2011.

 1. l

  lily JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  WANA JF NATAFUTA PLOT YA KUNUNUA(KUJANGA KAJUMBA) IWE MAENEO YA MBWENI, BOKO, UPANDE WA BAHARINI BUT HATA LAKINI KUSIWE KABISA NA BAHARINI YAANI PAWE TU NA VIEW YA BAHARI HATA KAMA NIKIWEKA HAPO KAGOROFA NIWE NA KAVIEW KIDOGO. KIWE NA TITLE DEED! 1500 HADI 1900 Sq meter. uwezo wangu ni milion 20 tu. asanteni sana
   
 2. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,362
  Likes Received: 3,194
  Trophy Points: 280
  Mil. 20!, labda pwani ya Lindi. Unajua kuna mtu alisema humu JF kuwa gharama ya nyumba/ardhi DSM inaweza kuwa kubwa kuliko hata New York-USA.
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Milioni ishirini na maeneo unayoyazungumza tena yawe na hati, mbona ndogo hiyo mama/baba

  Tanzania sasa imebadilika, Kuitafuta hiyo 20m, mpaka jasho la damu litakutoka lakini matumizi yake duhh

  Hebu cheki na huyu bwana KITOMAI, 0755312233, YEYE ANASHUGHULIKA SANA NA HAYO MAMBO NA ANA VIWANJA VYA HUKO UNAKOKUULIZIA
   
 4. l

  lily JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sasa wanaonunua ni akina nani kama sio watz. anyway nishapta mbweni JKT milion 25. asante
   
 5. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,792
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  achana na huko njoo kibada pembezoni mwa jiji la kigamboni
   
 6. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu hilo jiji linaanza kujengwa lini?
   
 7. l

  lily JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  no thanks to kigamboni
   
 8. l

  lily JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mili 20 wewe unayo?
   
 9. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Du watu wana hela,ebu someni signature yangu pengine inaweza saidia
   
 10. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mil 20!!

  acha utani,

  nenda pale ardhi toa mil 2 utapatiwa kiwanja maeneo hayo.

  usiseme nilikutuma
   
 11. M

  McAlly New Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naweza kukukatia eneo langu pale Ubungo Msewe ili uwe haphapa jijini (1000square metre) TShs. 40,000,000/=
   
Loading...