Bei za nyumba na plots Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei za nyumba na plots Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lily, Jan 23, 2011.

 1. l

  lily JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamni wana JF mimi hapa niko na swali kuhusu bei za nyumba na viwanja vya kuhuza!

  Yaani nchi yetu ni ya pili kwa umaskini duniani halafu ukiangalia bei za nyumba zakuhuza na plots its a killer wajameni! Last week nilikuwa naenda na jamaa yangu kuangalia ka plot huko boko! Yaani tulipoambiwa bei nusura nizimie! 900 sq meter plot was selling for 30 milion shilings! I was in shock! hata milioni 10 kwa uchumi wa Tanzania I dont think so! so nyumba ya nyumba 3 yaani ust basic house mbezi ni milion mia tatu!

  Maeneo ya Msasani ni milioni 400 kwenda juu! sasa ni wakina nani wananunua hizi nyumba! Ukiangalia kima cha chini ni 300,000? sasa maeneo ya Europe na USA utapata nyumba nzuri sana kwa dola 50,000 hadi 100,000 kwa hiyo mie naona watz wenye pesa na akili ni bora kununua majuu kwani ni cheap then TZ na utakuwa unaingiziwa rent kwenye bank yako kila mwezi!

  :fear:
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Thamani ya pesa inatofautiana dada.
  Hebu chukua hiyo dola 100,000 uiconvert kwenye tsh.
  Utaona na penyewe ni parefu.
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,101
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana nawe kabisa. NI WIZI MTUPU! Hiyo milioni 400 (T Shs) hata katika miji mikubwa duniani na ambayo gharama ya maisha iko juu sana kama vile New York na London unapata bonge la jumba lakini siyo Dar unaweza kuambulia nyumba iliyochoka sana ambayo inahitaji matengenezo ya hali ya juu au hata kuvunjwa kabisa. Nilimfuata jamaa mmoja kule Oysterbay kujaribu kumnunua toka ndani ya nyumba yake ambayo kusema kweli ilikuwa imechoka sana na inahitaji matengenezo ya hali ya juu. Akaniambia alifuatwa na mhindi ambaye alikuwa tayari kulipa shilingi 700 milioni na yeye akagoma kwa kudai ilikuwa bei ndogo!!!! Ikabidi nisepe kivyangu vyangu taratibu wala sikutia neno.
   
 4. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bongo kuna watu wachache wana hela chafu - kupitia ufisadi ndio wanaofanya maisha magumu. Watu wengi hawaishi kwa mshahara ni madeal.............
   
 5. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280

  NHC wanauza nyumba kwa bei nzuri kuliko watu binafsi, sema labda maeneo ndio pengine hupendelei tembelea Website yao nafikiri ni kuanzia USD 70,000 hadi USD 150,000 ambayo kwa wanaotoka nje ni bei nzuri kutokana na malipo ya nje. Lakini kwa malipo ya kibongo bado ni noma.

  BTW Tanzania bado kuna ile kasumba kwamba kila mwenye pesa amezipata kwa mishen mishen hivyo basi wanaposema kitu chochote ni kiasi gani utakimbia mwenyewe. Yaani ni wizi kwa kwenda mbele ..... .....
   
 6. Ikimita

  Ikimita JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 302
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Pesa chafu bado nyingi mikononi mwa watu, mtu waweza kuona shilingi milioni 400 kiasi kikubwa lakini kwa wengine kiasi cha kawaida tu.
   
 7. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kajengeni vijijini mjini kama hamkuwezi mnang'ang'ania nini?
   
 8. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Ndio inavyokuwa kwa nyumba za kuhuza
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ati na wewe ni great thinker? shame!
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Pamoja na pesa chafu, kuna matatizo kwene regulatory bodies,taratibu zenyewe, real estate business kwene masuala ya ardhi na nyumba kwa ujumla wake. Kwa kifupi bongo kila kitu bughudha bin shaghalabaghala.yaani kero kila kona.
   
 11. n

  nyantella JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Basi kwa mtaji huo, kuna mafisadi wengi sana Bongo maana nyumba Kariakoo iko kwenye mabilioni Magomeni pia ni mabillion waliisha toka kwenye mamia ya mamillion! na for your information sii wapemba peke yao wanaonunua kuna wakinga (toka njombe sijui makete...) hata ukitaka cash wanatoa!!! ukitaka wapeleke bank wanapeleka! so it seems kuna ufisadi katika kila eneo Bongo!! Wizi mtupu!
   
 12. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Tanzania inashangaza sana, hata viwango vya rent viko juu sana. Unajiuliza inakuweje kijumba cha uani chenye bedroom moja, sebule, jiko na wash room pale sinza palestina kinapangishwa kwa Tsh. 350,000 kwa mwezi na mwenye nyumba anataka kodi ya mwaka.

  Chakuchekesha zaidi pale sinza madukani barabara ya vumbi ya kwenda Namnani, frame ya duka yenye ukubwa wa mita 3x2 inapangishwa kwa Tsh. 300,000 na mwenye nyumba anataka kodi ya mwaka.

  Mbaya zaidi hawa wenye nyumba hawalipi hata kodi TRA!!

  Binafsi naona madalali ndo wameharibu soko la nyumba kwa kupandisha bei ili wale commission kubwa zaidi.
   
 13. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  acha unafiki wewe, tunazungumzia maslahi ya umma na si ya watu wachache kama wewe!!!!
   
Loading...