handsome boyz

niko na swali, hivi most of handsome boyz are gayz? just asking
What about the ugly gay faces we meet around? I don't think so, though ukiona mwanaume anajiremba kuliko kawaida mara nyingi ni dalili zenye kutia shaka
 
Subjectively not true! Is it true that all beautiful girls/ladies ara lesbian/prostitute? Just a question also!
niko na swali, hivi most of handsome boyz are gayz? just asking
 
acha hizo bhana,kuwa gay ni tabia ya mtu au matatizo ya kibiological.....mbona hata wenye sura ngumu nao ni gays
 
labda kaanza kumshtukia handsome wake {teh teh i'm just jokin}

Haaahaaa! Inawezekana maana hizo story nazo nyingi. Jamaa wanapanda chart kwa ajiri ya ile kitu inaitwa ku care. Baadae baadae inapokuwa ngumu kutofautisha nani ni mama na baba, wananza kuwahisi vibaya handsome guys in town
 
kumbe na wewe umeliona hilo
 
niko na swali, hivi most of handsome boyz are gayz? just asking

Nina wasiwasi kama unafahamu handsome anafanananaje...
Najua kuwa ninyi especially kibongobongo cute and beutiful boys hao ndiyo munawaita handsome.
Trust me you are using the wrong gauge.
 
Back
Top Bottom