nina milioni 200 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nina milioni 200

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by lily, Feb 3, 2011.

 1. l

  lily JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wajameni mie nataka kurudi bongo kufanya business, nina mtaji wa kama milion200 hivi, je ni biashara gani ambayo itanifaa? nilikuwa nawaza kufungua warehouse ya kuhuza vitu vya ujenzi lakini sijui pa kuanzia any ideas pls. niko abroad! thanx
   
 2. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  :coffee:
   
 3. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa 200m unaweza fungua warehouse ila labda nikuulize wewe una utaalamu gani?
   
 4. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ni pm nikupe dili fasta.
   
 5. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,536
  Trophy Points: 280
  In which region do you want to invest?

  The region would make it easier for members to advise you on the kind of business that would be appropriate and profitable.
   
 6. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,536
  Trophy Points: 280
  In which region do you want to invest?

  The region would make it easier for members to advise you on the kind of business that would be appropriate and profitable.

  As there businesses which are no longer viable and profitable in Dar,Arusha and Mwanza;but they can be profitable in other regions.

  So please specify the region,then I and other members may find it easier to advise you.
   
 7. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,724
  Likes Received: 1,630
  Trophy Points: 280
  kwanza ukija Dra kama umetoka Nje, cha kufany kusudi ufanikiwe ni kutenga Millioni hamsini kwenye account ya BIMA halfu njoo nazo hizo ela kwanza wazitafune ziishe utie akili , baada ya hapo ndipo utajua walizilaje, kwa nini zimeisha zimeenda tumboni kwa nani , na ujiulize kwa nini marafiki wameisha ndipo ukumbuke 50millioni zilizobaki uanze nazo mtaji fasta, utakuwa umejikomboa sana, sijui kama umeishajenga dar maana huku dar mpaka utie adabu angalau ka nyumba ka millioni miatano
   
 8. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  duh kwanza tuambie na sie jinsi ya kupata mahela yote hayo:twitch::clap2::clap2:
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Njoo uendelee kufanya hiyo kazi iliyokuingizia 200M
   
 10. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Usije! tafuta zingine zaidi ya hizo ndio uje? Bongo sio TAMBARARE SANA!
   
 11. R

  Rukukuta New Member

  #11
  Feb 3, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau Tumshawishi huyu mwenzetu azilete hizo hela hapa nchini itasaidia kuinua pato la taifa letu kwa kuongeza mzunguko wa pesa na kodi,pili wigo wa ajira utapanuka kwa wazawa wa hapa,sasa tunavyotoa majibu ya ajabu haisaidii maana ataamua azitumie huko na wataonufaika ni hao wa huko.
  Mdau mimi nakupongeza kwa wazo lako,pia nakuhakikishia kwa hicho kiwango ukijawekeza utapata return nzuri tuu.
  kwanza tungependa kujua unataka kufanya bishara ya aina gani zaidi ya hiyo uliyotaja awali,unataka kufanya biashara yenye kuitaji professional,ama ambyo kila mtu anaweza akafanya?.Pia unapendelea kufanya katika maeneo gani Mjini (miji mikuu) ama uko tayari kufanya kokote?
  tukipata majibu ya hapo juu na hata ukaongezea na mengine ambayo unaona yatafaa,tunaweza tukaanza kukutanabaisha ipi inafaa kulingana na unachopendelea
   
 12. k

  kibananhukhu JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hizo ni pesa nyingi sana na ni pesa ndogo sana. Inategemea. Kama unapenda kilimo, sikuhizi kilimo ni biashara siyo kama zamani. Kwa pesa hiyo utaweza pata eneo na ili upate mfumo wa umwagiliaji maji, mahindi ya kuchuma yanafaida kubwa kwani utalima kwa mwaka mara 6 na kila ekari moja itakupatia mahindi elfu 28 mgegu ya mahindi mawili mawili.

  Kama unapenda uana zuoni hizo unaweza kuanzisha shule ya msingi au sekondari. Sheria ya kuanzisha shule tanzania inataka uwe walau una minimum ya ekari 3, ujenge madarasa 3. maktaba, maabara na toilets pamoja na ofisi za walimu. Ukiweka walimu wazuri chukuwa kila darasa wanafunzi 35 wakulipe milioni 2 kwa mwaka ukiwa na Streams A na B utakusanya mil 75 kwa mwaka gharama za uendeshaji bila kujali kuwekeza upya, {madarasa mapya} haitazidi asilimia 35. shule kodi nyingi ni msamaha. Nipe mimi dola 5000 Nikuandikie mchanganuo na nitakusaidia hadi kusajili shule. Au twanga +255 718 194606
   
 13. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  kwa millioni 200 unaweza kununua kiwanda cha Cement kidogo,unakifunga in a place near Dar.pesa yako itarudi fasta tu.ukilipenda wazo eleza nitakufafanulia hapa wazi kabisa
   
 14. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,920
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  kilimo vp?
   
 15. k

  kibananhukhu JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kama kiwanda cha cement kitatoa cement safi siyo lazima tuzisubiri za mbali. Sina cash lakini kwa biashara ya cement ambayo nchini ni issue sijui. Labda gharama za kusafirisha gypsu na malighafi nyingine. Mimi ninaweza pata hizo pesa kama wazo la kiwanda cha cement unalimaster. Tuwasiliane
   
 16. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hujaeleza kama hizo 200m ni shilingi au dola za kimerekani au Euros. na kama uko merekani njoo na plan ya portable houses hiyo itakulipa sana. mfano universities zetu zina uhaba wa mabweni you will be in position to resolve hi shida na pia utapewa viwanja au maeneo ya wazi ya chuo husika bure kwa vile utakua uwasaidia sana kwa upande wa accommodation. Na sio hapo tu pia wananchi (yaani watz) utaweza kuwajengea na kuwauzia hizo plan. Iringa kuna mbao za kutosha sana za mradi kama huo. Bila kusahau mabenki mengi yatakutafuta na sio wewe utakao watafuta.
   
 17. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Nenda kwa business advisors watakushauri kwa muda mrefu wa kutosha!
   
 18. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Jamani tuweni makini katika kumpa ushauri huyu mwenzetu. Zitasaidia na wengine, kama huna idea basi soma tu,waweza elimika.
  Kama ulivyodokezwa hapo juu ni muhim kusema region of interest na pia interest zako wewe. Kwasbabu kufanikiwa kwako kunategemea interest pia,don't under estimate that. Ukitujulisha hayo nafkiri michango yaweza kua mingi zaidi.
   
 19. l

  lily JF-Expert Member

  #19
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  thanx mdau nitakupigia for sure! wazo zuri sana.
   
 20. l

  lily JF-Expert Member

  #20
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asanteni sana wadau, comments zune zimenifungua snaa macho, nimeziprint and then nitazifania kazi. si unajua tena Dar land it is very expensive, nitaangalia maeneo ya morogoro pia. mungu awabariki sana.
   
Loading...