I thought the NHCTZ meant to build afordable houses for tanzanian people | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I thought the NHCTZ meant to build afordable houses for tanzanian people

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by lily, Oct 21, 2011.

 1. l

  lily JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  PROPERTY SELLING PRICE
  The minimal selling price for one apartment is TZS 175,314,366.48 VAT exclusive, the highest bidder who will be able to meet all necessary condition as listed below stands a high chance to win.

  please see link Meru Residential Apartments: Arusha jamani kwa mwendo huu tutafika kweli? even in UK u wont pay that much money for one bed aptmnt! huu ni ufisaji mkubwa! watz we need to wake up! an ordinary tanzanian citizen cant afford to pay milion mia na sabini for one bed apt. helpppppppppppppppppppppppppppppppp

  God bless TZ.
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu ndiyo ubepari huo, kama hiyo bei ni kubwa sana go buy somewhere else. Ukiangalia vizuri ramani si one bed room apt. UK maeneo yapi huko ambako 1 bed room apt ni pound 66,500.00?????? maana ndiyo bei hiyo kwa exchange rate ya 1GBP to 2640 TZS. Hiki ndicho CCM wanakiita uchumi wa soko lakini surprisingly wananchi huwa hawawaulizi how?
   
 3. l

  lily JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  I said UK utapata kwa pound 50,000 i mean cheaper tha u think. Sasa nini maana ya NHC? huku UK and other countrys in Ulaya NHC in maana nyuma za bei rahisi kwa wenye misharara kidogo, sasa TZ milion 200 for one bed ni wageni na matajiri ndiyo watakaoweza kununua, serukali inatoa land ya bure halafu tunauziwa nyumba bei gali hivyo!
   
 4. B

  BARRY JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  tuunganishie deal tununue europe huku gharama mno. Lakini lazima feasibility studies zimeshafanywa kabla.........
   
 5. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Lily siyo one bedroom ni three bedroom one of them being a master.

  Meru residential apartments are expertly proposed 3 bedrooms(one en suite) apartment for rent and purchase. With 6 blocks and a total of 48 living units; Meru residential apartments ensure that you enjoy an accessible road network, public open space. Along with this, each 169.5 m² apartment has a self-contained master bedroom en suite, spacious lounge and a dining room, phone and TV cable connections.

  Meru Residential Apartments: Arusha

  Pia wanazo kule Dodoma karibu na Bunge kule ni bei rahisi ni Tshs. 99.99 mil. Naona bei inategemea na umaarufu wa mji. Ngoja tusubiri za Upanga Dar naona bei itakuwa ni kwa ajili ya mafisadi tu.
   
 6. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  Ufisadi mtupu!!
  Kama serikali inauza kuanzia 175Mil+Vat, watu binafsi watauzaje?
  Serikali ya kuwatetea wananchi ndiyo hiyo inawakandamiza, tutatetewa na nani?.
  Mchechu, hizo ndio sera za CCM ulizozipigia debe siku ile Luningani kwamba unazifuata?
  Hivi nani anafahamu jinsi ya kuanzisha NTC?
  Too much sasa
   
 7. Kwisimla

  Kwisimla Senior Member

  #7
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mmh! Sijui serikali yetu huwa inafanya maamuzi kwa vigezo gani, namaanisha sijui huwa wanawachukuliaje wananchi........
   
 8. l

  lily JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  even if is 3 bedrooms still an ordinary tanzanian cant afford that! it shud be 50milli at least! serikali inawapa free land kujenga hizo nyumba abd they are taking it for granted! this is not normal!
   
 9. T

  Topical JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Sasa kama hawawezi kulipa tutajenga vipi zingine?

  Bei poa hiyo
   
 10. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  hata mimi nilivutiwa na tangazo kuingia nikasema what???
   
 11. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Bei inakuzwa na set up na design ya hizo nyumba. Ukiweka mambo kama gym,sijui swimming pools hahika bei zitakuwa juu..............waNgeanza na za kawaida tu bila huo udhungu. Hako karamnani ukijipiga mwenyewe kwa 30m unahamia
   
 12. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  bei kubwa wapeanae wanamtandao labda...
   
 13. m

  maskin Member

  #13
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  lily
  kweli bei kubwa sana kama una hizo hela bora ununue europe eg uk ambao ndo wanauza nyumba bei kubwa kuliko nchi yeyote ulaya bado unapata nyumba kwa hizo hela na nirahisi zaidi ku rent kuliko tanzania arusha bei yaweza kuanzia £400 kuendelea kutegemea na eneo nyumba ilipo eg check hii http://www.primelocation.com/uk-property-for-sale/details/id/THXP2142758/ kwa hiyo kama una hela na unataka ununue nyumba kwa ajili ya kupangisha basi nunua europe maybe german spain,france halafu pangisha hilo ni wazo tu
   
 14. H

  Heri JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2007
  Messages: 242
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mashirika ya pension ndiyo wanawajali watu wenye kipata cha chini. Wanajenga nyumba za bei nafuu na kuuza kwa bei nzuri. NHC kwa sasa naona objective yao ni kujenga sky scrappers na kuziuza. Cost za hayo majengo ni kuanzia 8bn na kuendelea. Snr staff (wapya) watafaidika na mgao. Siyo wote wapo pamoja na DG. Miaka mitatu ijayo tuaweza kuona majengo yakitekelezwa kama ilivyokuwa Mafuta House.
  NHC kama pesa ipo wangesaidia katika kudevelop satellite areas. New Kigamboni , maeneo ya Buyuni , Chanika,
   
 15. K

  Kilwamasoko New Member

  #15
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu Wana jamii nimekuwa nikifatilia hoja hii ya shirika la NYUMBA, Mimi nimekuwa nafatilia mikakati yao kwa sababu nimejipanga namimi kununua NYUMBA - nimekuwa nikimsikia Mkurugenzi MKUU - Bwana Mchechu akiongele mpangoo mkakati unaonyesha Ni jinsi gani shirika limejizatiti - unaonyesha wanadhamiria kujenga NYUMBA elfu 15000 kati ya hizo 10000 kipato cha kati na cha juu na elfu 5000 kipato cha chini - Mimi nasubiria NYUMBA size yangu nikisema lazimisha kununua hizo NYUMBA ntakuwa mlalamishi tu - swala la muhimu nikujaribu kutafuta sababu zinazopandisha gharama ya ujenzi nchini na tushirikiane kwa pamoja kuangalia jinsi Mfumo wa kodi, uzakishaji na technology zinazotakiwa na tuwe na viwanda viffaaa vya ujenzi
   
Loading...