looking for a holiday home

lily

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
229
26
wanaJF pls naomba basi munisaidie na hii. mimi naishi ughaibuni na nataka kuja home for xmas, na ningependa kushukia hotelini but is too expensive! hivi kuna hoidays home for a short stay kama mataifa mengine? nimejaribu kuangalia kwenye net but ni zanziba na kenya tu wanaonyesha! pls help if u know anyone can help! am willing to pay laki 3 kwa week and niko na family 2 adults and 3 kids! nina kibandas changu najenga bado hakijaisha and am hoping kukimaliza nikija. nawashukuru sana
 
Watu 5??? ungekua peke yako ninge kukaribisha. Hivi kwa nini usim-pm kitomai akutafutie nyumba? unawezapata nyumba nzuri tu na furniture kwa hiyo laki 3 kwa wiki...
 
thanx mdau will du that who is kitomai by the way?
 
mbona haueleweki? u-turn umesema dola 500,hapa jf unasema laki 3, kwahiyo umeona vitu vya jf ni cheap kuliko u-turn?
 
wanaJF pls naomba basi munisaidie na hii. mimi naishi ughaibuni na nataka kuja home for xmas, na ningependa kushukia hotelini but is too expensive! hivi kuna hoidays home for a short stay kama mataifa mengine? nimejaribu kuangalia kwenye net but ni zanziba na kenya tu wanaonyesha! pls help if u know anyone can help! am willing to pay laki 3 kwa week and niko na family 2 adults and 3 kids! nina kibandas changu najenga bado hakijaisha and am hoping kukimaliza nikija. nawashukuru sana
Kwanini usifikie nyumbani kwenu ilihali unakuja kupumzika unataka mdugu zako wakufuate ulikofikia?mi nafikiri ingekuwa vizuri ukafikia kwenu hata kukiwa ni Samunge poa tu nyumbani ni nyumbani,kufikia huko unakotaka kufikia ni kukosa uhalisia
 
Cha kushangaza ni pale unaposema unakuja "home" halafu unatafuta pa kufikia?

Umeniacha hoi.
 
Kwanini usifikie nyumbani kwenu ilihali unakuja kupumzika unataka mdugu zako wakufuate ulikofikia?mi nafikiri ingekuwa vizuri ukafikia kwenu hata kukiwa ni Samunge poa tu nyumbani ni nyumbani,kufikia huko unakotaka kufikia ni kukosa uhalisia
watu wanapenda kujipaisha kweli, kwao kuna nyumba ya tembe anaionea noma, anyway kukusaidia njoo kwangu nina servant kota lakini utalipa laki 5 kwa wiki
 
mbona haueleweki? u-turn umesema dola 500,hapa jf unasema laki 3, kwahiyo umeona vitu vya jf ni cheap kuliko u-turn?
Ama kweli JF ni kiboko, ukija ukija huku uwe umejipanga otherwise utaumbuka watu wana data. Hongera Mzuanda!
 
Back
Top Bottom