wajameni naomba kamsaada kidogo. mimi niko huku ughaibuni na nimeshabeba mabox vya kutosha , na ningependa kurudi home kufanya biashara, nimejikusanya sana na hapo nilipo nimesave 100, 000pounds! kuna mtu kaniambia ninunua kakiwanja halafu baadae nijenge hapo kaukumbi ka kufanyia sherehe au hotel ndogo yenye vyumba 20 hivi na je hii pesa itanitosha wadau? ni maaneo gani yapo cheap nad easy to access? thanx a lot