cheap flights from Uk to Dar


lily

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
229
Likes
1
Points
0

lily

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
229 1 0
wajameni natafuta cheap flights toka Uk kwenda Dar kwa wale wanaojua. thanx. ni shirika gani ambalo ilna bei nafuu? naweza kusafiri kupiti mombasa pia as long as in cheap! planning to travel January 2011
 

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2007
Messages
6,581
Likes
635
Points
280

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2007
6,581 635 280
si uulize madila wa huko Uk ? Tuna matatizo kibao hata umeme hatuna ww unauliza kitu unaweza mwenyewe? Kukujibu yenyewe dola kibao .
 

hashycool

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2010
Messages
5,898
Likes
449
Points
180

hashycool

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2010
5,898 449 180
wajameni natafuta cheap flights toka Uk kwenda Dar kwa wale wanaojua. thanx. ni shirika gani ambalo ilna bei nafuu? naweza kusafiri kupiti mombasa pia as long as in cheap! planning to travel January 2011
check na hawa watu wa hawker beechcraft wana ndege nzuri sana za kukodi!.....ukija niletee na mimi zawadi..tehehhee
 

shiumiti

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2009
Messages
438
Likes
3
Points
35

shiumiti

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2009
438 3 35
Emirates ni cheap kuliko wote (klm ni expensive). Tena wana-offer mpaka january. Naomba uwacheck kwenye mtandao wao. Google..emirates then utawapata
 

RayB

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2009
Messages
2,754
Likes
90
Points
145

RayB

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2009
2,754 90 145
Unataka standard gani? Kama manake bei ianendana na huduma bana.Ila ukifanya juhudi utapata rahis mbona
 

Forum statistics

Threads 1,204,442
Members 457,321
Posts 28,158,470