mramba

lily

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
229
26
hi warombo sasa ni aje wajameni naona mramba keshawadanganya wazee kule kuwa pesa za ufisaji amejenga nazo bara bara ha ha ha, hivi haya ni ya kweli?:tape:
 
source plz,halafu imekaa km udaku vile,mods ipeleke kwenye gossips
ni kweli anapita kwenye kampeni akisema hivyo! sasa naona anawatukana Warombo maana anafikiria ni Wajinga kiasi ch akutofahamu zimeingia tumboni mwake yeye na familia yake! Yaani huyu mtu anataka ushindi by crooks or hooks
 
hi warombo sasa ni aje wajameni naona mramba keshawadanganya wazee kule kuwa pesa za ufisaji amejenga nazo bara bara ha ha ha, hivi haya ni ya kweli?:tape:

unauliza au unatueleza?
 
mramba mbona kwisha habari yake, watu wa "mndeni" migombani hawadanganyiki kirahisi hivyo mwenyewe anakumbuka alivyopigwa chini 1995 wakampa Salakana wakati akiwa chadema, sasa Romani Selasini wa chadema yuko juu kinyama na likely ndie mbunge ajaye
 
hi warombo sasa ni aje wajameni naona mramba keshawadanganya wazee kule kuwa pesa za ufisaji amejenga nazo bara bara ha ha ha, hivi haya ni ya kweli?:tape:

Alikuwa akiingiza Landcruser VX kila wiki....bila ya kulipia kodi kwa kivuli cha tax exemption...fisadi hilo!!!!!!!
 
fisaji mkubwa mitoto yake inatanua huku Uk kwa pesa za WATZ. very sad
 
hi warombo sasa ni aje wajameni naona mramba keshawadanganya wazee kule kuwa pesa za ufisaji amejenga nazo bara bara ha ha ha, hivi haya ni ya kweli?:tape:

wewe naona ni ndugu wa mramba, maana hueleweki. Kwa kifupi ni FISADI ALIYEKUBUHU-PAPA
 
Warombo wakimpa huyu watatudhihirishia ni wabinafsi...
Hawezi kuhujumu huku afu apeleke kwao wamsifu...
Pamoja tutajenga Tanzania yenye mabadiliko..usifanye kosa chagua mabadiliko..
 
Back
Top Bottom