usafiri wa ndege ndani ya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

usafiri wa ndege ndani ya Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lily, Jul 16, 2012.

 1. l

  lily JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani kwenda Arusha kwa ndege 450,000 the cheapest flight NOV 12 na iko hadi ya 1.5 milion kwenda Arusha tu na kurudi ukitokea dar! hivi watz tunaisha dunia ya ngapi? travelstart.co.tz.. hii nchi hapana na wanasema walioko nje muje mukainverst nyumbani there so no way better mamtoni its cheaper than home. majumba na viwanja mamilion ya pesa, i just cant understand!
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Damn! That's a rip off.
   
 3. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  na bado hadi tufike walau disemba tutakua tumechoka mbaya,hoi bin taaban!
   
 4. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kama 1 bil ni vijisenti, what do you expect?.ukiangalia news coverage zetu zinazohusiana na fraud in various sectors,people talk in terms of billions mpaka masikio ya watanzania yamezoea sasa na kuona hyo figure ni ya kawaida tu. so wakiwekewa fare kama hizo wanaona ni kawaida, but truly life is unbearable.
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Ndo maana wanai-corupt gvt airline ili wandelee ku-monopolize aviation industry.
   
 6. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  better life for every Tanzanian
   
 7. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,199
  Trophy Points: 280
  Ndege ya ATC inayosafiri kwenda Mwanza kwa kupitia Kilimanjaro, tiketi ya kwenda na kurudi kutoka Dar ni 267,000. Kwa hiyo kwenda Kilimanjaro kwa ATC itakuwa chini ya hapo.

  Na kulikuwa na promotion ambayo ilikuwa even cheaper. Buyer beware attitudes za air hostesses wa kibongo na poor customer service ya ATC.

  Kwa hiyo bei zako haziyumkiniki.Labda kama unataka kwenda Arusha kwenye a private airstrip or something special like that, kuna wajasiriamali wanaweza kukulipisha hata $5000 kwa saa kwenye LearJet.
   
 8. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,755
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 280
  Jamani hiyo ni return ticket au?!
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Yep...according to Lily it's a round trip.
   
 10. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Shirika gani hilo?
   
 11. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nimejaribu kutafuta bei ya kutoka DAR kwenda Kilimanjaro/Mwanza na kurudi kwenye mitandao ya Precision Air na Air Tanzania nilichokikuta ni hiki. Tarehe ya kusafiri ni 12 Novemba 2012 na kurudi tarehe 29 Novemba 2012

  ATC nauli ni
  DAR-JRO-DAR: Tshs. 367,000 (sawa na USD 229.375)
  DAR-MZA-DAR: Tshs. 267,000 (sawa na USD166.875)

  Precision Air nauli ni (hawa kwenye mtandao wanalipisha kwa USD hamna shilingi)
  DAR-JRO-DAR: USD 362.8 (sawa na Tshs. 580,480)
  DAR-MZA-DAR: USD 397.5 (sawa na Tshs. 636,000)
  Ina maana Precision ni ghali sana.
   
 12. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Ndio maana walimpiga vita Chizi aondolewe ATCL ili waweze kucorner market ya mwanza na KIA!!! Wabunge wakichachamaa kuikwamisha budget ya wizara ya Uchukuzi yule bwana anaweza kurudi!!! Inashangaza sana Nundu kuondolewa wizara ya uchukuzi na wakina Chambo kubaki!!!
   
Loading...