msaada wa kiwanja(plot) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa kiwanja(plot)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lily, Jan 31, 2011.

 1. l

  lily JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hello again wana Jf, nataka kununu kiplot maeneo ya mbweni chenye view ya bahari kwa umbali(likini siyo lazima) kiwe na ukubwa wa sqm 1500 to 1900 uwezo wangu ni mili 25 tu. wenye kujua pls. hata maeneo ya mbezi au boko its ok. upepo muhimu.
   
 2. S

  Strategizt Senior Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 176
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hi viwanja vipo hasa maeneo ya Mbweni ndo nina uhakika...... ila kuna madalali pale tegeta kibaoni ni wazuri sana viwanja vyao maranyingi siyo vya kitapeli ila inabidi uwe macho kabla ya kutoa pesa. Uliza pale Tegeta kibaoni kijiwe cha madalali jina ni Athumani.
   
Loading...