holiday in tanzania

holiday in tanzania

lily

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
229
Reaction score
27
wana Jf mimi nawapenda sana, maanaka kila nikiomba msaada huku wa kitu huwa napata majibu mazuri sana duh bila hii blog sijui ningekuwa wapi. i love this blog a lot than FB. sasa mimi nataka kuja mwezi wa nane bongo naishi USA na niko na family! nitapatate kureny appartment3 bedrooms) nice area, clean and secure? kwa muda wa six weeks? asanteni
 
haya, wataalamu wa estates- aka wazee wa mujini, kazi hiyo...msaidieni huyu member.

BTW, Bongo ni kubwa, unataka kukaa mji gani?
 
Hapa A town unataka maeneo gani? Hali ulioitaka ipo pia hali ya hewa ni nzri dada'gu mpendwa!
 
Back
Top Bottom