Search results

  1. M

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli amfuta rasmi Freeman Mbowe jimboni Hai

    Leo hii Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kupitia CCM bila ya huruma yoyote na kwa zaidi ya dakika 23 alimkaba Mbowe akiwa chini na kumwekea goti shingoni kwa muda wote huo na kusababisha kifo chake cha kisiasa kwa Mbowe kitu ambacho kimetafsiliwa kuwa ni uuaji kama...
  2. M

    Uchaguzi 2020 Kama sisi wapinzani tunataka kuingia Ikulu kivyetu tusimamishe mtu mnafiki ajifanye kuhubiri amani na utulivu

    Ndugu zangu wapinzani najua sana ukikosoa tu, cha kwanza unapata jina la ubatizo mtakatifu kuwa ni mamluki, umetumwa na mengine mengi. Ndugu zangu hata Mungu kama wewe ni msomaji wa Biblia utaona alikuwa anatulia anafundishwa na Musa na anakubali maelekezo sembuse Chadema na wapinzani? Tutakaa...
  3. M

    Mgombea wa CCM Dokta Magufuli na yeye sasa amebadilisha gia angani

    Amepata kusikika kila mara kila wakati akisema kuwa maendeleo hayana chama, umekuwa wimbo wake na korasi yake lakini ghafla bin vuu amebadilika juu kwa juu na kusema kama katika tochi ya betrii 3 katikati au pembeni mkiweka gunzi la muhindi imekula kwenu, tochi haita waka na yeye awashi...
  4. M

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akifanya hili kwa Watanzania anashinda Urais asubuhi na mapema

    Aombe msamaha Watanzania kwa ile biti ya hatari aliyoichimba maana Watanzania wote kutoka katika vyama vyote na wasio na vyama, haja kubwa ilikuwa inagonga nguo za ndani kwa hofu. Watanzania wengi waliingiwa na hofu kuu hasa ukinzingatia hatuna uzoefu wala mazoea ya kuvamiwa kivita kwani hata...
  5. M

    Uchaguzi 2020 Lissu hana uchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili

    Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni kuwa mzungu. Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na...
  6. M

    Wapinzani msiwe wavivu, jiulizeni kwanini ZANU-PF, CCM na ANC bado zipo madarakani kuliko kusubiri kipindi cha Uchaguzi mnasema Ikulu asubuhi

    Jiulizeni kwanini Zambia Afrikan Neshino Konglesi kiliangushwa na wapinzani si malaika MCP. Malawi Konglesi Pati kiliangushwa na wapinzani na si malaika. KANU chama cha Jomo Kenyata pia kiliangushwa na wapinzani. Tuanzie Malawi, Bakili Muluzi wa Unaitedi Democratik Fronti alimtoa Kamuzu Banda...
  7. M

    Uchaguzi 2020 Mgombea Urais CCM adhibitiwe kuhusu suala la matumizi ya lugha ya Kisukuma. Mwongozo wa lugha wanaounadi TBC ufuatwe

    TBC katika taarifa yao kwa maelekezo kutoka Tume ya Uchaguzi ya Taifa wametoa maangalizo mengi lakini mimi moja ambalo nimeliona kama mgombea Urais kupitia CCM analikiuka sana. Lile tangazo linasema kuwa kama mgombea atakuwa jukwaani anamwaga sera basi atumie lugha ya Kiswahili tu, kama...
  8. M

    Kweli CHADEMA wanaotetea haki za Vyombo vya Habari wanawafukuza TBC kwa kuwadhalilisha eti wamezima matangazo ilhali TBC ilikuwa bado hewani

    CHADEMA kimefanya uzinduzi leo pale Mbagala kwa kuhakikisha wanakidhalilisha kituo cha televishoni cha taifa cha TBC kwa kukifukuza na kukipa masharti makali sana kuzidi ya kidkteta kwa kuwapa dakika 15 wawe wameondoka huku wanachama na viongozi wa CHADEMA wakiwazogoa. Mwenyekiti Mbowe alidai...
  9. M

    Wasafi FM imewanin'giniza wenzao Clouds FM baada ya kufungiwa na TCRA kuwaita majambazi

    Nimewasikia Wasafi fm leo asubui kupitia kwa mtangazaji wake anaijiita jina baya la Beberu, Zembwela alitoa mfano kuwa kifo hata cha jambazi ni lazima tuuzunike kwani na yeye ana mchango fulani katika jamii Zembwela alikwenda mbali zaidi na kutoa mfano kuwa, kuna jambazi ambaye aliiba banki na...
  10. M

    Kuyaelewa mabadiliko

    Mabadiliko ni kitu kama cha kiasili, sasa inategemeana unazungumzia mabadiliko gani. Na mabadiliko ni kama kitu cha lazima yaani hata ufanyeje uwezi kuyazuia, huwa yenyewe yakija yamekuja na yakiondoka yanaondoka, yaani hata uzikili, usali, ufunge au utafute muzimu yenyewe huwa hayajui. Mfano...
  11. M

    Njaa imeingia au biashara imeingia

    Mwaka Jana tulishuhudia wabunge wa upinzani Chadema wakifoka sana kuhusu serikali kuzuia wakulima kuuza kwa Uhuru mazao yao wenyewe, wamelima wenye, wamevuna wenyewe sasa mbona mnawasumbua waacheni wauze nje wanavyotaka. Hivi ndivyo walivyo sikika hawa Ukawa.t Sasa swali, je Hawa jamaa hawajui...
Back
Top Bottom