Njaa imeingia au biashara imeingia

manafyale

JF-Expert Member
Nov 25, 2014
277
158
Mwaka Jana tulishuhudia wabunge wa upinzani Chadema wakifoka sana kuhusu serikali kuzuia wakulima kuuza kwa Uhuru mazao yao wenyewe, wamelima wenye, wamevuna wenyewe sasa mbona mnawasumbua waacheni wauze nje wanavyotaka.
Hivi ndivyo walivyo sikika hawa Ukawa.t
Sasa swali, je Hawa jamaa hawajui hathali za kuuza chakula nje? Kama walikuwa hawajui je.tungawapa nchi so ingekuwa hatari. Nakama walijua na kunameli kubwa kubwa inasemekana imeingia dar na shehena ya mahindi ya mfanyabiashara, na Mara baada ya meli kuingia tu chokochoko za njaa zilianza kuvuma. Je. Amuoni kama hii ni mipango ya wapiga dili hawa, kwasababu wanaangalia pesa tu na siyo watanzania maskini, kwanini tusitumie akili kujua? Mmesahau walizunguka miaka zaidi ya name wakisema ukweli kuhusu fisadi Lowasa na baada ya Lowasa kushusha kitita kama tulivyosoma katika vyombo vya habari gia ilitolewa angani.
Sasa hili LA njaa mbona walitoa matamko bungeni tuuze chakula cchote? Jamani hawa tuwatolee macho mnne lasivyo tutayumba ssana na hizi sasa za upinzani ni hhatari kwa taifa.
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom