Kweli CHADEMA wanaotetea haki za Vyombo vya Habari wanawafukuza TBC kwa kuwadhalilisha eti wamezima matangazo ilhali TBC ilikuwa bado hewani

manafyale

JF-Expert Member
Nov 25, 2014
277
158
CHADEMA kimefanya uzinduzi leo pale Mbagala kwa kuhakikisha wanakidhalilisha kituo cha televishoni cha taifa cha TBC kwa kukifukuza na kukipa masharti makali sana kuzidi ya kidkteta kwa kuwapa dakika 15 wawe wameondoka huku wanachama na viongozi wa CHADEMA wakiwazogoa.

Mwenyekiti Mbowe alidai kuwa TBC waondoke uwanjani haraka kwani wameshazima matangazo huku sisi mtaani tukiwa tunafatilia matangazo kupitia TBC ikiwa bado ipo hewani inatangaza mkutano, hili ni jambo la ajabu sana linafanywa na chama cha CHADEMA.

Hivi kama CHADEMA wakichukua nchi itakuwaje maana hata kufanya uchunguzi mdogo tu ili kujiridhisha kuwa kweli wamezima matangazo wanakurupuka kufukuza kituo cha TV na kibaya zaidi kuwadhalilisha uwanjani.

Hili ni swala la kupingwa na vyombo vyote vya habari kwani si haki na naviomba vyombo vyote vya habari kuacha kabisa kutangaza mkutano yote ya CHADEMA.

Leo CHADEMA imejionesha kuwa hiki ni chama cha kihuni kabisa kwani ni hatari kuwapa nchi kwani nilikuwa nawasikia kumsema Magufuli kuwa ni dikteta lakini leo wamewafukuza TBC kwa kuwapa dakika hii ni hatari.
 
Kama unaweza kurudia sehemu ya matangazo ya Leo yanayo lalamikiwa utajifunza kitu,Kama hauna upande uliokwisha uchagua
 
Hivi huoni aibu kuyaandika yote haya ilhali hata sasa kwenye youtube uko ushahidi wa ujinga uliofanywa na wale waandishi wa TBC?
 
Pumbavu zako, mimi nilikua naangalia TBC na matangozi yalikatwa ,achilia mbali kukata kata.


Weee TBC unayoongelea hapa ni ya Mama yako???

Pumbavu kabisa.
 
Hao TBCCM wanalilia kutangaza mikutano ya watu kwa kile wanachokitaka wao na wanaowalea mjini?
Wasubirie kutangaza mkutano wa Dodoma.
 
Chadema kimefanya uzinduzi leo pale Mbagala kwa kuhakikisha wanakizalilisha kituo cha televishoni cha taifa cha TBC kwa kukifukuza na kukipa masharti makali sana kuzidi ya kidkteta kwa kuwapa dakika 15 wawe wameondoka huku wanachama na viongozi wa Chadema wakiwazogoa.

Mwenyekiti Mbowe alidai kuwa TBC waondoke uwanjani haraka kwani wameshazima matangazo huku sisi mtaani tukiwa tunafwatilia matangazo kupitia TBC ikiwa bado ipo hewani inatangaza mkutano, hili ni jambo la ajabu sana linafanywa na chama cha Chadema.
Hivi kama Chadema wakichukua nchi itakuwaje maana hata kufanya uchunguzi mdogo tu hili kujirizisha kuwa kweli wamezima matangazo wanakurupuka kufukuza kituo cha TV na kibaya zaidi kuwadhalilisha uwanjani.

Hili ni swala la kupingwa na vyombo vyote vya habari kwani si haki na naviomba vyombo vyote vya habari kuacha kabisa kutangaza mkutano yote ya Chadema.

Leo Chadema imejionesha kuwa hiki ni chama cha kihuni kabisa kwani ni hatari kuwapa nchi kwani nilikuwa nawasikia kumsema Magu kuwa ni dikteta lakini leo wamewafukuza TBC kwa kuwapa dakika hii ni hatari.

Yaani kama Chadema itachukua nchi siku hiyo hiyo itawaambia wana CCM tunawapa masaa 48 muwe mmeondoka ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kupiga na kuwafunga wana CCM na kuwaua CCM na hii ni dalili ya nvua mimi nasema kuwa hawa ni watu hatari zaidi kutokea katika taifa hili tangia kupata uhuru mwaka 1961.

Roho ya kumwaga damu inawaongoza, tuombe Mungu atunusuru na vyombo vya usalama vifanye kazi yake kwani leo tayari katika uzinduzi yametangazwa maandamano nchi nzima tayari.
 
Unatumia tv aina gani? Maana kila mtu kaona walichokua wanafanya kila mtu akitaja jamaaa yule au chama kile wanakata matangazo wanaanza kuongea ujinga wao.
 
Back
Top Bottom