Mgombea wa CCM Dokta Magufuli na yeye sasa amebadilisha gia angani

manafyale

JF-Expert Member
Nov 25, 2014
277
158
Amepata kusikika kila mara kila wakati akisema kuwa maendeleo hayana chama, umekuwa wimbo wake na korasi yake lakini ghafla bin vuu amebadilika juu kwa juu na kusema kama katika tochi ya betrii 3 katikati au pembeni mkiweka gunzi la muhindi imekula kwenu, tochi haita waka na yeye awashi alimaliza.

Akiwa kanda ya ziwa waliwatolea mfano kata kadhaa ambazo hazikuchagua CCM na kuwambia barabara za rami watazisikiaga, umeme wasi waze, maji ndiyo watajiju.

Huvyo kwa sasa maendeleo yana chama na ni CCM kwa mnaoamua kuchagua upinzani ni kuingia mkataba wa kukosa huduma za kijamii kwa mika mitano tu.

Mi sijui ila kauli kama hizi tete na ngumu aliwai pia kuitoa aliyekuwa mtoto wa Mariamu yule Myahudi anayejulikana kama Yesu, yeye alisema kuwa hawezi kuwapa chakula cha watoto wake mbwa. Huyu ni Yesu Masiha na mwokozi wa ulimwengu.
 
Kodi zao nazo azikatae au azipeleke kwa hapo wabunge wao au madiwani wao.

Hiyo ni dhuruma.
Naamini ni mbinu za kuwapa motisha jamaa wamchague tu vinginevyo asingejenga daraja LA ubugo maana hapo napo ni kwa upinzani
 
Nikweli hoja iko kidesign maana Ubungo ni jimbo la Chadema lakini Flyover - Ubungo Interchange ya gorofa imewekwa hapo. Maendeleo hayana chama.
 
Magufuli uwe unaaga wananchi kabisa huu wakati wa kampeni. Huku kitaa watu hawana tena time na TV. Hotuba za Tundu Lissu ni kama taarifa ya habari hutaki kuikosoa. Tunakopeshanaehela za kununua smart phones.
Unaishi wapi hapo mkuu, labda wewe ni famil friend ya Tl..... Na hata hivyo, mbona Mioyoni mnakitu chenye uhalisia?

Ni Sawa na mtu umekula karanga ukajiharishia mtama badala ya karanga ulizokula! Ndicho mnacho kufanya enyi machadema
 
Magufuli uwe unaaga wananchi kabisa huu wakati wa kampeni. Huku kitaa watu hawana tena time na TV. Hotuba za Tundu Lissu ni kama taarifa ya habari hutaki kuikosoa. Tunakopeshanaehela za kununua smart phones.
Kwani washabiki na wapenzi wa mapenzi ya jinsia moja wako wangapi hadi Lissu ashinde!!?
 
Magufuli uwe unaaga wananchi kabisa huu wakati wa kampeni. Huku kitaa watu hawana tena time na TV. Hotuba za Tundu Lissu ni kama taarifa ya habari hutaki kuikosoa. Tunakopeshanaehela za kununua smart phones.
Smart Phones zanini hatutaki maendeleo ya vitu
 
Back
Top Bottom