Search results

  1. Ligogoma

    Wadau wa Masterbation....!! Mmeelewa?

    Nawasalimu kwa jina la JF, Hili chapisho lilitolewa mwaka 1875 huko New York katika jarida la mambo ya afya ya uzazi, likionyesha kijana mpiga nyeto anavyoathirika na asiyepiga nyeto. Halikadhalika mtu mzima mpiga nyeto alivyoathirika na asiyepiga nyeto!! Kumbe kuna uzee unaotokana na kupiga...
  2. Ligogoma

    Wanawake pia wana ndoto zao kimapenzi

    Wiki iliyopita nilishinda mkoa wa Manyara, katika shughuli ambayo ilitukutanisha watu si chini ya 50 kutoka sehemu mbalimbali Tanzania. Kama kawaida, couples zikajiunda ndani ya masaa kadhaa!! Sisi wazee tukabaki watazamaji tu. Kuna binti hakutaka kujiunga katika mkumbo wa wenzie!! Binti...
  3. Ligogoma

    Unataka kuoa, oa ukijisikia kutoka moyoni. Part II

    Habari! Bado naendelea kutoa elimu juu ya kutafuta mwenza (Mke au Mume) na Mungu akipenda tukivuka janga hili la CORONA unaweza kujaaliwa kupata mwenza aliye mwema kabisa. Kuna uzi wa kwanza nilianza kwa kuwashauri waoaji au waolewaji wajisikie kwanza kufanya hivyo kutoka moyoni. Usiige mtu...
  4. Ligogoma

    Unataka kuoa? Oa ukijisikia kutoka moyoni!

    Heloo!!! Ndoa nyingi siku hizi zinavunjika! Zinavunjika kwa sababu upande mmoja una feel hauwezi kubeba jukumu la ndoa! Kwa nini? Kwa sababu vijana wanaoa kama fashion, kuiga, kutafuta hadhi na wengine kutafuta hata kipato tena unakuta ni kipato cha nauli za likizo tu ofisini! Zikitokea...
  5. Ligogoma

    Nahitaji Vifungashio vya snacks

    Habarini, Nina shida na wazalishaji wa vifungashio vya viburudisho (snacks) kama vile vya chips snack, diamond karanga au kahawa! Naona kwa Tanzania vimekuwa na ugumu kupatikana kidogo ila kama kuna mwenye ufahamu na upatikanaji wake naomba anijuze tafadhali. Nawasilisha.
  6. Ligogoma

    PSRS: Ajali zote hizi bado usahili wa madereva mnafanya ujanja ujanja??

    Usahili wa awali wa vitendo kwa nafasi ya Dereva ll uliofanyika kuanzia tarehe 6/07/2019 hadi tarehe 26/07/2019 watahiniwa waligawanya katika makundi (Groups) Katika Group la tarehe 21/07/2019 walifanya watahiniwa (madereva) 21 tu! Katika majibu yaliyopostiwa kwenye mtandao group hilo hilo...
  7. Ligogoma

    Ujumbe kwa wanaotafuta kuoa/kuolewa

    Jana nimekutana na binti mmoja! Binti ambaye miaka takriban kumi na mmoja iliyopita alifunga ndoa ambayo nilishiriki kwa 100% lakini baada ya mwaka na nusu ndoa ile ilivunjika!! Sikujua ni nini kilisababisha sababu hatukiwa na mawasiliano thabiti mpaka jana ndipo kanipa story halisi! Kwangu...
  8. Ligogoma

    Kufundisha Kiswahili, Afrika Kusini

    Habari JF, Leo nimegutuka baada ya Mkenya mmoja anafundisha shule ya watoto hapa Dar kumkuta anawasiliana kwa bidii na Mkenya mwenzie aliyepo Afrika Kusini (AK) kwa mchongo wa kwenda kufundisha lugha ya Kiswahili ambayo inasemekana imeshaingia kwenye mtaala wa nchi hiyo. Mimi na yeye...
  9. Ligogoma

    Changamoto/kero za barabarani katika Mikoa tofauti Tanzania

    Habari JF, Nilikuwa safari hivi karibuni, nilikuwa na gari ndogo, tukio lililonitokea linanifanya nianzishe huu uzi inawezekana yapo mengi na lengo hapa ni kujifunza na kuchukua tahadhari zaidi tuwapo barabarani. Wakati ndiyo nishaliacha jiji la Dodoma lilikuja lori, makusudi kabisa limeniona...
  10. Ligogoma

    Mtu anasaidiwa kweupeee....!!

    Habari JF, Ofisi iko juu, floor kadhaa sasa nyuma kuna mtaa!! Kuna mojawapo ya nyumba iko vizuri sana ila wakaamua kujenga nyumba ya uani, kwa sasa ipo kwenye 'linta' haijapauliwa bado. Mchezo uko hivi: Katika hii nyumba kuna mama mtu mzima sana japo yupo fresh tu, muda kuanzia saa nne asubuhi...
  11. Ligogoma

    Nitumie nini maji ya chumvi yasiharibu nguo?

    Habari JF, Ninaishi sehemu kunakopatikana maji ya chumvi kwa wingi, ni eneo nililohamia hivi karibuni. Nilichogundua ni kwamba maji haya yakitumika kufulia nguo huwa zinapoteza ule umaridadi, hata ukivaa hujifeel smart tena! Zingine zinapoteza rangi yake (pauka). Naweza kutumia nini kuzia maji...
  12. Ligogoma

    Siti ya mbele unaipa nafasi gani kwa mwenzi wako?

    Wadau JF, Una mwenza (hasa wa ndoa/mnaishi pamoja) na mnatumia gari lenu moja kwenda na kurudi ofisini. Asubuhi mwenza anakuacha ofisini kwako na akitoka anakupitia mnaondoka kurudi home. Swali: Kuna staff wenzie na mwenza wako wanamuomba lift, wapo wawili so gari bado ina nafasi ya siti...
  13. Ligogoma

    Ushauri: Mashemeji ni hatari siku hizi

    Ushauri, Wadada mlioolewa, wenye ndugu wa kike halafu wanaishi haya maisha ya kimjini mjini kujidai wanazo na masupastaa. Epuka kuishi nao nyumba moja, ni hatari kwa ndoa yako, hutamani yale unayopewa na mumeo basi nae apate mfano outing, mausafiri haya, mavazi, the way mnavyoishi na n.k...
  14. Ligogoma

    Natafuta Gear Box ya Daihatsu Terios

    Habari, Kwa wenyeji wa Dar wapi naweza kupata kwa uhakika gearbox ya Terios iliyo katika ufanisi mzuri kabisa (sina uhakika kama mpya kabisa zinapatikana). Nawasilisha
  15. Ligogoma

    Matairi imara kwa ardhi ya Tanzania

    Habari JF, Nimejikuta nawaza kuhusu ni aina gani ya matairi imara kwa ardhi yetu na ambayo yanaweka muonekano wa gari kuwa zuri. Mfano mimi gari yangu nilikuwa natumia KUMHO, hazijawahi kunipatia pancha na zinakaa muda mrefu!! Ila vikashata vyake vidogo sana ukienda offroad huko mashambani...
  16. Ligogoma

    Utofauti wa 'utamu' kwa wanawake

    Habari JF, Leo naomba niwazindue dada zangu kuwa usemi wa "utazunguka bucha zote ila nyama ni ile ile." huu usemi si wa kweli. Nimeleta hapa baada ya kupata ushahidi wa kutosha kuhusiana na swala la utofauti wa ubora/ladha/utamu (sijui neno lipi liwe sahihi hapo) wa uke kwa wanaume. Huwezi...
  17. Ligogoma

    Unapambana vipi na mabadiliko ya maumbile ya mwenza wako?

    Habari WanaJF? Kuna ndoa ya jamaa yangu inapita kwenye mawimbi makubwa sana yaani anytime inavunjika ugomvi ni kwamba mwanamke kachukia sana jamaa kunenepa na kuota kitambi!! Anasema ni afadhali awe mwembamba kupitiliza lakini yeye na wanaume wenye vitambi ni big noooo! Wakati wanaoana ni...
  18. Ligogoma

    Kutafuna Changu nacho ni kipaji....!!

    Habari JF? Kuna uzi mmoja humu nimeusaka leo siuoni ili nitoe mrejesho, kifupi ulikuwa na namba nyingiiii za machangudoa wa jijini na nzuri zaidi members waliweka na wajihi wa Changu husika. Hamadi nikapata safari ya jijini na bila ajizi kidume wa mkoa nikachuka namba, nami nikajivika udomo...
  19. Ligogoma

    Kama ni wewe, Utaendelea na mipango ya ndoa?

    Heri ya mwaka mpya JF?? Wewe ni kijana tayari umekua na umejitosheleza kiasi cha kuhitaji kuwa na mwenza wa maisha (kufunga ndoa). Umempata na procedure zote za awali mmezifanya ikiwamo mahari mmeshatoleana. Una mdogo wako wa kiume baba mmoja mama mmoja, kamjua mdogo wa kike wa mkeo mtarajiwa...
  20. Ligogoma

    Hii kwangu ni ndoa ya mwaka

    Habari JF? Katika pitapita za huku na kule kupambana na maisha yetu haya, nilijikuta nimekutana na familia moja ambayo daah!! Walinivutia sana lakini walinifanya nijifunze kitu ambacho nanyi kupitia JF mnaweza kujifunza au kutoa shuhuda kama zipo ndoa zingine za namna hii achilia zile za...
Back
Top Bottom