Matairi imara kwa ardhi ya Tanzania

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,503
6,406
Habari JF,
Nimejikuta nawaza kuhusu ni aina gani ya matairi imara kwa ardhi yetu na ambayo yanaweka muonekano wa gari kuwa zuri. Mfano mimi gari yangu nilikuwa natumia KUMHO, hazijawahi kunipatia pancha na zinakaa muda mrefu!! Ila vikashata vyake vidogo sana ukienda offroad huko mashambani kulima mpunga gari inateleza saana na kunasa kijinga hata kama ni four wheel.

Nikabadilisha nikaweka tairi za DUNLOP, nilijua ni tairi imara but ndani ya miezi sita ishanipasukia kwa njia zile zile nilizokuwa natumia tairi za KUMHO!! Nahisi hii ilitokana na kutokujua aina za matairi kwa mazingira ninayoishi haya ya Kitanzania!!

Hebu tujuzane matairi imara na mazuri yanayopatikana Tanzania kwa gari ndogo za four wheel. Ikiwezekana hata bei pia kupata siyo mbaya

Karibuni wadau
 
Nunua tairi ya BF GOODRICH ALL TERRAIN au (MUD TERRAIN ina vikashata vikubwa) au General Grabber utasahau. Bei zake 380000-420000 each
 
053a40fb3344ba53bc3491409931653f.jpg


Nunua hizo tires, ni nzr sana
 
Tafuta wataalamu wa matairi wakupe ushauri wa matairi mazuri kulingana na matumizi yako.
Kuna ambayo yanatumika off road tu na mengine yametengenezwa kwa on road tu.
Angalia matumizi yako then utafute washauri.
Ila binafsi naona NGO's nyingi wanatumia BF GOODRICH AU GOODYEAR.
 
Back
Top Bottom