Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,503
- 6,386
Ushauri,
Wadada mlioolewa, wenye ndugu wa kike halafu wanaishi haya maisha ya kimjini mjini kujidai wanazo na masupastaa.
Epuka kuishi nao nyumba moja, ni hatari kwa ndoa yako, hutamani yale unayopewa na mumeo basi nae apate mfano outing, mausafiri haya, mavazi, the way mnavyoishi na n.k.
Mbaya zaidi hawatongozwi wala kutongoza bali hutumia maungo yao na mbinu za kikungwi wanazopeana wazi wazi kwenye magrupu ya watsapp, mumeo akichomoka hiyo mitego kapike sadaka.
Ni experience ya moja kwa moja, mbaya zaidi kuna jamaa zangu mmoja wapo akathimulia anavyomtafuna shem wake. Nikipimia mitego nayopata na story za jamaa naona kama siku hizi imekuwa fasheni mabinti kutembea na mashem zao.
Kuweni makini sana.
Karibuni