Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,503
- 6,406
Habari WanaJF?
Kuna ndoa ya jamaa yangu inapita kwenye mawimbi makubwa sana yaani anytime inavunjika ugomvi ni kwamba mwanamke kachukia sana jamaa kunenepa na kuota kitambi!! Anasema ni afadhali awe mwembamba kupitiliza lakini yeye na wanaume wenye vitambi ni big noooo!
Wakati wanaoana ni kweli jamaa alikuwa mwembamba na sasa kabadilika kwa kunenepa, anajaribu kufanya mazoezi na diet kashindwa kupungua ili kufuatana na matakwa ya mkewe sasa kabaki kuangalia tu litalotokea.
Najua tupo wengi humu, hebu tupeane maujuzi mwenzio akibadilika maumbile kwa kunenepa au kupungua baada ya kuwa nawe inakuathiri kwa lolote?? Uta/unachukua hatua gani??