Nahitaji Vifungashio vya snacks

Nahitaji Vifungashio vya snacks

Ligogoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2010
Posts
3,502
Reaction score
6,460
Habarini,

Nina shida na wazalishaji wa vifungashio vya viburudisho (snacks) kama vile vya chips snack, diamond karanga au kahawa!

Naona kwa Tanzania vimekuwa na ugumu kupatikana kidogo ila kama kuna mwenye ufahamu na upatikanaji wake naomba anijuze tafadhali.

Nawasilisha.
 
Heeee! Hakuna ajuaye, kweli vifungashio hivi ni shida nchini kama nilivyoelezwa na wawekezaji hawajaiona hii fursa
 
Arusha unavipata hv
1571864604704.jpeg
 
Back
Top Bottom