Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,502
- 6,459
Habari JF,
Leo naomba niwazindue dada zangu kuwa usemi wa "utazunguka bucha zote ila nyama ni ile ile." huu usemi si wa kweli.
Nimeleta hapa baada ya kupata ushahidi wa kutosha kuhusiana na swala la utofauti wa ubora/ladha/utamu (sijui neno lipi liwe sahihi hapo) wa uke kwa wanaume. Huwezi kuamini hili ni tatizo linaloharibu mahusiano mengi sana na kuvuruga mipango ya wengi kuishi pamoja.
Utashangaa mwanamke mwingine ni mzuri sana na anabehave vizuri sana lakini akikaa na mwanaume mwaka mmoja basi huyo mwanaume kajitahidi sana. Halafu unakutana na mwanamke mbayaaaa ila kaolewa tayari kumbe jamaa lilijaribu kuonja likakuta kumbe mashine tamuu likaamua lijimilikishe kabisaa mpaka watu mnashangaa.
Hapa nazungumzia ile penetration taste, siyo mautundu ya nje sijui maviuno na nini huko. Mfano ukachukua wanawake kumi wenye usafi sawa wa kimwili wakakaa katika staili moja na kuingiliwa na mwanaume mmoja katika staili ile ile kuna mambo kadhaa yatagundulika:
1. Kuna ambaye ukiingiza uume tu unahisi utamu/ubora/ladha ya hali ya juu kabisa. Hutatumia nguvu nyingi ila utajikuta unapiga mishindo mingi sana. Yaani hapa bila mautundu utashangaa mishindo tuu inakutoka, wanawake wa kundi hili huwa mara nyingi wanaweza kuwa na malalamiko ya wanaume wanaokutana nao wana pre ejaculation. Mwanaume hata apige mishindo kumi utakuta bado distance ya ile mishindo huwa ni mifupi mifupi.
2. Kuna ambaye ukiingiza uume tu unahisi utamu/ubora/ladha ya kawaida ambapo juhudi zako ndizo zitadetermine mishindo yako. I mean kama huna mautundu ya kutosha huu mzigo hutaumudu ipasavyo. Hapa ukipiga mishindo yako inakuwa na ile distance ya kumshuhulikia mtu wako ipasavyo, utakuta unapiga mishindo tano tuu lakini ulikesha nae usiku kucha.
3. Kuna ambaye ukiingiza uume hutahisi ule utamu/ubora/ladha ya maumbile yake. Hapa unaweza kujikuta unapiga mshindo mmoja tu wa ukame then ndo basi tena. Yaani hapa mwanaume hata uwe na mautundu vipii, utakuta huwezi kwenda zaidi ya moja na hilo moja lenyewe umevuta sana hisia kutoka nje ya uwanja. Ikitokea ukajaribu kupiga mzigo tena unaweza kushangaa jamaa anazimikia katikati ya gemu sababu hauupati ule ubora/utamu/ladha ya kike haswa. Wanawake hawa mara nyingi huishia kulalama kuwa wanaume magoigoi bila kugundua kuwa tatizo ni yeye.
NB: Hii isiwe sababu ya wanaume magoigoi kujitetea.
Nini kifanyike: Kwanza mwanamke jitambue, ukijitambua utaweza kupata suluhu ya tatizo bila kumtupia lawama mtu.
Pili, Kuna mazoezi ya kuweza kufanya ubora/utamu/ladha ya uke kuwa ya kiwango cha juu kabisa bila kutumia kemikali zozote. Moja wapo ni Kegel exercise, husaidia kubana na kurudisha misuli ya uke katika ubora wake.
Achana na kemikali, zitakuharibu zaidi.
Nawasilisha.