Natafuta Gear Box ya Daihatsu Terios

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,503
6,406
Habari,

Kwa wenyeji wa Dar wapi naweza kupata kwa uhakika gearbox ya Terios iliyo katika ufanisi mzuri kabisa (sina uhakika kama mpya kabisa zinapatikana).

Nawasilisha
 
Habari,

Kwa wenyeji wa Dar wapi naweza kupata kwa uhakika gearbox ya Terios iliyo katika ufanisi mzuri kabisa (sina uhakika kama mpya kabisa zinapatikana).

Nawasilisha
Unapata used mkuu kutoka mbele japan or dubai.zipo nyingi sana nenda ilala kwenye ofisi za raha leo nyuma ya ofisi hizo kuna godawn moja kubwaaa huwezi kosa. Au mpigie namba hii muulizie kama anayo ili ukienda hapo uhakika.au akisema hana nyuma ya raha leo hapo kuna uchochoro una maduka ni maarufu ya kuuza spea za gari hizo 0715 274191
 
Hiyo gearbox haitengenezeki kabisa?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom