Search results

  1. funzadume

    Natafuta smoke detector za betri

    Wadau kama kuna mtu anajua wanapoiza lithium battery smoke detector anijuze nikanunue.
  2. funzadume

    Natafuta hii hand cream

    Wadau wenye kujua napoweza kupata hii hand cream anielekeze. Wife alipewa na ndugu yake from USA Cream inakaribia kuisha ina harufu nzuri sana tena ya kishua kweli kweli. Naitafuta aweze kuwa nazo za kutosha
  3. funzadume

    Nitapata wapi Liquid Soap zinazotumika Hotelini?

    Wadau kuna liquid soap fulani wanatumia kwenye mahoteli makubwa ambazo wanazijaza kadiri zinapopungua. Kwa walioishi ulaya mtakuwa mnazijua maana kule ni kila hoteli zinapatikana. Swali naweza kuzipata wapi hapa Bongo? Sikufanikiwa kuuliza hotelini wanazitoa wapi. Najua humu kuna wengi mnajua...
  4. funzadume

    Nahitaji Wheel Chair

    Wadau ninatafuta wheel chair nielekezeni maduka yenye bei ya kawaida. Nahitaji leo nataka kutoa msaada sehemu
  5. funzadume

    Manara tuachie Simba yetu

    TUACHIE SIMBA YETU............... 1. Kijana Haji Manara, Maneno yangu sikia, Kwanza zuia hasira, Pindi unapoomgea, Haya mambo ya mpira, Wengi watakuchukia, Tuachie Simba yetu, Na wewe kafanye yako. 2. Umezaliwa mjini, Ni nani wa kukataa, Mambo yote ya kihuni, Haji wewe wayajua, Simba...
  6. funzadume

    Tatizo la gundi (tapes) katika madirisha ya alluminium

    Nilijenga nyumba ya shambani maeneo ya Mkuranga ambayo nikiwa naenda kufanya kilimo nafikia pale. Tatizo limetokea nilipoweka madirisha ya alluminium yalikuja na zile tapes za kuzuia yasichunike ambazo zina nembo ya kampuni iliyotengeneza. Nilipoyaweka fundi alishauri tusiyabandue mpaka siku ya...
  7. funzadume

    USB port kwenye begi

    Wadau nimeagiza begi mtandaoni na limenifikia yapata wiki sasa. Kwenye mkono wa kubebea kuna USB port. Hivi kazi yake ni nini kwa wenye utaalam? Nimeuliza ofisini hamna anayejua
  8. funzadume

    Tujadili tamko hili la Waziri wa Mifugo kuhusu usajili wa wafuga kuku

    Je, utaratibu ukoje? Je, wafugaji wa wanyama wengine vipi? Kusajili ni vizuri ila uwekwe utaratibu kwa mifugo yote wafugaji wasajiliwe kuwe na database na sio wafuga kuku wa nyama na mayai. Kuna mifugo mingi nchini
  9. funzadume

    Natafuta ubao wa mchezo wa Darts

    Natafuta ile board ya kuchezea darts pamoja na ile mishale yake yaani full set. Nataka nitumie kama pambo ukutani na pia kuwafundisha watoto michezo tofauti na waliyozoea. Sehemu gani wanayouza hapa jijini Dar es Salaam.
  10. funzadume

    Umewahi kukuta watu wanakula tunda live?

    Wakati nasoma kulikuwa na dada mmoja class (chuo) aliniazima calculator yake akaenda nayo chumbani kwake kwa minajili ya kwamba ataniletea usiku saa tatu kwenye discussion (tulikuwa na test ya QMS kesho yake). Ilipofika usiku tumepiga discussion demu hajatokea mpk saa tano usiku na mie...
  11. funzadume

    Nataka nimnunulie wife Nissan Dualis

    Wataalam wa hizi kazi nataka nimchukulie wife Nissan Dualis baada ya kukaa sana kwenye Toyota. Je, wajuvi mnasemaje kuhusu uimara na ubora au udhaifu wa hizo gari?
  12. funzadume

    Leo naomba tutubu kwa wapenzi tuliowakosea zamani

    Katika pilika pilika za mapenzi kuna makossa ambayo tunayafanya na kujuta sana baadae na kutamani hata wakati urudi nyuma ili uweze kurekebisha makosa. Mie nilikuwa na demu mmoja alinipenda sana na mimi pia nilimpenda mnoo na nilitegemea ndio atakuja kuwa mke wangu baadaye. Yule demu alikuwa...
  13. funzadume

    Kuna dada kaniambia "I love you"

    Kuna dada aliniomba nimsaidie kazi ofisini mie nimeoa naye kaolewa. Nilimsaidia na katikati wakati tunafanya kazi alininunulia vichocolate Fulani hivi vya kula na baadae juice. Tulipiga kazi mpaka nikamaliza kumwelewesha ila mwisho wake akanishukuru sana na kusema I love you so much...
  14. funzadume

    Chata kali ya jezi au viatu vya michezo

    Wadau wapenzi wa mazoezi je ni chata gani kali ya jezi unaipenda Zaidi na kwa sababu gani? Mie napenda Under Armour au Nike yaani nikivaa wakati nafanya jogging najihisi kupendeza na kwenda na wakati. Wewe unapebnda sport brand gani?
  15. funzadume

    Mirathi katika ndoa ya wawili

    Wajuzi wa sheri.a naomba mnisaidie kuhusu yafuatayo yanayohusu mirathi haswa kwa ndoa za kikristo za mme mmoja mke mmoja: 1) Je mali mlizochuma ndani ya ndoa umiliki wake ukoje? mfano tuna nyumba tatu na zote zimeandikwa jina la baba je mama hana umiliki katika mali hizo na je kama baadhi ya...
  16. funzadume

    TUMEPIGIWA BONGE YA PROMO

    Jamaa katupaisha sana maana hata matangazo yetu hayaonyeshi uzuri aliouonyesha mshikaji
  17. funzadume

    Kilimo cha bustani mjini (video)

    Ndugu wakulima na wananchi kwa ujumla, kama una eneo dogo katika nyumba yako usiridharau linaweza kukusaidia ukaweka mimea michache ambayo itasaidia kukupatia chakula kama nyanya, vitunguu, pilipili, spinachi, mchicha, nyanya chungu, bamia n.k. Sio kazi ngumu maana hata mtu anayefanya kazi...
  18. funzadume

    Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

    Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi na pia ningependa niweke wazi kuwa sitataja jina langu wala sehemu ninayofanyia kazi
  19. funzadume

    Je, inawezekana Mwanaume kuwa na urafiki wa kawaida na binti aliyezoeana naye sana?

    Nimekua na urafiki wa karibu na binti ambaye nimempita miaka zaidi ya 15 yeye ni mwanachuo mimi ni mfanyakazi. Amenizoea mpk imefikia anaomba tutoke lunch na sometimes dinner Mimi nimeoa ila yeye pia ana bf wake but she is so close to me. Nimemuomba unyumba anakataa ila anasema tubaki kuwa...
  20. funzadume

    Tuliowahi kudundwa siku ya kufunga shule primary tukutane hapa

    Kama kichwa cha habari kinavyosema. Enzi zile tunasoma kulikuwa na list ya wakali wa masomo darasani (kumi bora)ambayo ilikuwa official na pia kulikuwa na list ya wababe katika kupigana kuanzia wa kwanza mpk wa mwisho. Sasa mie nilikuwa mkali sana darasani ila kwenye kupigana nilikuwa kama wa...
Back
Top Bottom