USB port kwenye begi

USB port kwenye begi

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13,649
Reaction score
21,522
Wadau nimeagiza begi mtandaoni na limenifikia yapata wiki sasa. Kwenye mkono wa kubebea kuna USB port. Hivi kazi yake ni nini kwa wenye utaalam? Nimeuliza ofisini hamna anayejua
20210703_181939.jpg
 
Coonect USB, simu uone kama inachaji kwanza.

Teknolojia ishakuwa kubwa huwezi kujua hapo huenda umewekewa kitonga cha kuchaji badala ya power bank
Nimejaribu hamna kitu. Yaani ingekuwa na sehemu ya kuingizia umeme ningehisi ni power bank, lakini kuna ya kutoa umeme tu
 
Ni kwa ajili ya kuchajia simu.
Unaunganisha power bank ndani ya begi kisha unaunga USB kwenda kwenye simu ikiwa mkononi au mfuko wa suruali
Unaunganishaje hiyo power Bank? Maana hamna sehemu ya kuingizia umeme, kipo kwenye mkono wa begi na umeshonwa kwa nyuma
 
Mkuu lengo ni kuficha simu hata mwizi akiiba asiipate kirahisi, waya unaoconect na power bank ama usb upo ndani ila kwenye zipu moja wapo ambayo imefichwa fichwa.

Fungua bag tafuta kizipu cha siri
 
Nenda kwa fundi akitoeee hizi begi za mtandaoni unaweza kuta umeuziwa fekiii

Fundi aliona tu picha akatengeneza
 
Mkuu lengo ni kuficha simu hata mwizi akiiba asiipate kirahisi, waya unaoconect na power bank ama usb upo ndani ila kwenye zipu moja wapo ambayo imefichwa fichwa.

Fungua bag tafuta kizipu cha siri
Ipo kwenye mkono wa kubebea na imeshonewa kabisa
 
Kwenye mifunko midogo huko ukifungua na kukagua vyema hakuna sehemu ya kuchomeka usb ya powerbank?

Huko mtandaoni ulikoagiza embu kasome maelezo yote labda watakuwa wameelekeza.
 
Back
Top Bottom