Natafuta ubao wa mchezo wa Darts

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,558
21,035
Natafuta ile board ya kuchezea darts pamoja na ile mishale yake yaani full set. Nataka nitumie kama pambo ukutani na pia kuwafundisha watoto michezo tofauti na waliyozoea.

Sehemu gani wanayouza hapa jijini Dar es Salaam.
 
Nimepita Mlimani City Kama nilivyo ahidi. Kweli nimezikuta ziko za aina mbili ya kwanza ni lile duara tupu lenye namba bila mishale linauzwa 147,000/= na vile vimishale set inauzwa 67,000/=. Aina ya pili ni Puma hiyo inakuwa Pamoja na mishele inauzwa 260,000/=
Asante sana mkuu kwasasa niko mbali na jiji ila nikirud ntajaribu kufatilia hapo
 
Kariakoo wanauza sh elfu 60.
Pale tahfif stationeries.
Asante kwa taarifa nitaenda pia kuangalia. Inaonekana hapo ni cheap kuliko kuagizia nje. Asante sana. Kama kawaida nikienda nitaleta mrejesho

Uzuri wa ile board ni kama pambo nyumbani na pia ni mchezo mzuri
darts.jpg
 
Angalia kuna topiki kwenye uchumi na biashara wameeleza vizuri
 
Back
Top Bottom