Nitapata wapi Liquid Soap zinazotumika Hotelini?

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13,650
Reaction score
21,522
Wadau kuna liquid soap fulani wanatumia kwenye mahoteli makubwa ambazo wanazijaza kadiri zinapopungua. Kwa walioishi ulaya mtakuwa mnazijua maana kule ni kila hoteli zinapatikana. Swali naweza kuzipata wapi hapa Bongo?

Sikufanikiwa kuuliza hotelini wanazitoa wapi. Najua humu kuna wengi mnajua vingi. Nataka nizitafute kwa ajili ya home. Uchumi wa kati
20220128_191028.jpg
 
Kuna za kunawia mikono na za kuogea, wewe umelenga zipi hapo!?.. Kama ni za kuogea nenda maduka ya vipodozi ulizia shower gel zipo aina nyingi, harufu, ujazo na ubora tofauti tofauti ni wewe tu na pochi yako.
Hiyo chupa ni kifungashio cha kawaida ambacho unaweza kupata kwenye masoko yetu Kama utahitaji kudhibiti matumiz.
 
Wadau kuna liquid soap fulani wanatumia kwenye mahoteli makubwa ambazo wanazijaza kadiri zinapopungua. Kwa walioishi ulaya mtakuwa mnazijua maana kule ni kila hoteli zinapatikana. Swali naweza kuzipata wapi hapa Bongo?

Sikufanikiwa kuuliza hotelini wanazitoa wapi. Najua humu kuna wengi mnajua vingi. Nataka nizitafute kwa ajili ya home. Uchumi wa katiView attachment 2108870
Walau ungetaja brand yake ingesaidia kujua kujua uliyoikusudia, maana zipo za aina nyingi.. brand nyingi pia. Ila nikushauri kwa bongo yetu tumia hata Satiskin au Nivea shower gel..
 
Kwa Bongo natumia Dove na Dettol. Hizi za mahotelini haswa 5 Stars ni nzuri zaidi. Uwa wanajazia zikipungua ila chupa zake hazina brand name
20220205_164118.jpg
 
Kuna za kunawia mikono na za kuogea, wewe umelenga zipi hapo!?.. Kama ni za kuogea nenda maduka ya vipodozi ulizia shower gel zipo aina nyingi, harufu, ujazo na ubora tofauti tofauti ni wewe tu na pochi yako.
Hiyo chupa ni kifungashio cha kawaida ambacho unaweza kupata kwenye masoko yetu Kama utahitaji kudhibiti matumiz.
Hizi za kibongo nimeshatumia karibu zote ila hazina ubora kama hizi za mahotelini. Naongelea za kuogea
 
Unasema kweli chief? Kwani hata dove, lux na nyinginezo nimetumia, lakini kwasasa nimebaki kwenye Satiskin! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
Ukifananisha na sabuni za mahoteli makubwa utagundua hizi za Kariakoo ni midosho tu.

Nilishatumia Satiskin ile nyekundu ya strawberry sikuona maajabu
 
Umewahi kutumia ile inakuwa kwenye gallon ya 2L?
 
Hapa kuna mtu atakuja sema eti hata b29 ya mo nayo ni sabuni la muhimu kuoga😂😂
 
Wadau kuna liquid soap fulani wanatumia kwenye mahoteli makubwa ambazo wanazijaza kadiri zinapopungua. Kwa walioishi ulaya mtakuwa mnazijua maana kule ni kila hoteli zinapatikana. Swali naweza kuzipata wapi hapa Bongo?

Sikufanikiwa kuuliza hotelini wanazitoa wapi. Najua humu kuna wengi mnajua vingi. Nataka nizitafute kwa ajili ya home. Uchumi wa katiView attachment 2108870
Zinaweza kuwa "Castile Soap"
 
Kama upo Dar, Masaki na Town kuna duka/mini supermarket inaitwa "homecollectionz" upate original brands toka UK kama St.Ives, Garnier, Imperial, Palmolive, Lynx, Umbro, Adidas etc etc...

Duka lao la town lipo karibu na round about ya DTV pale...mtaa wa Sewa/Chusi...0710 490 344

Budget yako iwe not less than 12k

Pia unaweza pita Shrijee's Supermarket ya Kisutu mtaa wa Africa (Africa Street) au pia Kijitonyama Barrel fuel station pale pana mini supermarket inaitwa Elegante express

Wote hawa wana accounts instagram, unaweza ukapiga chabo kabla ya kwenda...
 
Kama upo Dar, Masaki na Town kuna duka/mini supermarket inaitwa "homecollectionz" upate original brands toka UK kama St.Ives, Garnier, Imperial, Palmolive, Lynx, Umbro, Adidas etc etc...

Duka lao la town lipo karibu na round about ya DTV pale...mtaa wa Sewa/Chusi...0710 490 344

Budget yako iwe not less than 12k
Nitaenda kesho kuzitafuta. Nitaleta mrejesho na picha. Asante sana idumu JF
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom