Nataka nimnunulie wife Nissan Dualis

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,559
21,040
Wataalam wa hizi kazi nataka nimchukulie wife Nissan Dualis baada ya kukaa sana kwenye Toyota.

Je, wajuvi mnasemaje kuhusu uimara na ubora au udhaifu wa hizo gari?

1591256397269.png
 
Muonekano iko poa ila kama unavyojua Nissan ni gari flani hivi ambayo Spear zake zina bei iliochangamka jiandae kisaikolojia tu.
Muonekano iko poa ila kama unavyojua Nissan ni gari flani hivi ambayo Spear zake zina bei iliochangamka jiandae kisaikolojia tu.
Au mshauri amnunulie kama ile uliyoninunulia mimi babe, ile BMW X6🤷‍♀️
 
😍Thats huge my love...maybe amnunulie ile BMW x1 inafaa kwa first ownership af inaendana hivi na dualis!
Mkuu vipi upande wa BMW na Mercedes Benz kwenye suala la durability na spares?
Kuna jamaa alinishauri akasema wengi wenye BMW wanamiliki na Toyota pia hivyo hashauri gari ya kwanza kuwa BMW, AUDI na BENZ
Nomba mchango wako, thanks in advance
 
Kwa Ranks ni Benz, Audi kisha BMW.

Benz iko reliable kuliko zote 3!
 
Mkuu vipi upande wa BMW na Mercedes Benz kwenye suala la durability na spares?
Kuna jamaa alinishauri akasema wengi wenye BMW wanamiliki na Toyota pia hivyo hashauri gari ya kwanza kuwa BMW, AUDI na BENZ
Nomba mchango wako, thanks in advance
Nakujibu kwanini unakuwa na Toyota au gari yoyote ya pili. Ni kwasababu kinaweza kuharibika kitu ikabidi kiagizwe au kikawa ghali na kwa muda huo huna hela gari ya pili inakuokoa usipande daladala.

Hata kama ni mmiliki wa Toyota ukiwa na gari mbili zinasaidia kwasababu si mara zote utakuwa na hela za kurekebisha gari.
 
Back
Top Bottom