Search results

  1. JS

    Vuguvugu la kuuvunja Muungano na mipaka ya Bahari

    Wana JF habari zenu.... Hii ishu ya mipaka ya Tanzania na vuguvugu la Muungano limeniacha nikijiuliza itakuwaje. Mipaka hii nayozungumzia ni Contiguous Zone na Exclusive Economic Zones (EEZ). Kufuatana na Convention of the Law of the Sea ya UN ya 1982, a coastal state can claim up to 24...
  2. JS

    Msaada: maumivu ya tumbo la siku na uzazi wa kwanza wa mwanamke

    Wandugu habari zenu binafsi! Hebu nisaidieni tafadhali. Nishawahi kusikia mara nyingi tu katika mazungumzo ya hapa na pale kuwa mwanamke akishajifungua mara ya kwanza maumivu ya tumbo la siku huwa yanapungua kwa asilimia kubwa kwa wale ambao huwa wanapatwa na maumivu hayo. Naombeni kujuzwa...
  3. JS

    Food for thought

    Katika pitapita yangu mtandaoni nikakutana na kipisi hichi....ambacho kweli ukikisoma kina ukweli mwingi ndani yake na si Zambia peke yake bali Afrika nzima Tanzania ikiwemo. Nikaona nikelete hapa jamvini wadau mjisomee na kutafakari kilichomo na mustakabali wa nchi yetu. You Lazy...
  4. JS

    Hmmm

    Ingekuwa airport tunasachiwa kwa hisia namna hii pasingetosha kabisa.....
  5. JS

    Blackberry users - server down

    Haya wandugu, wale mnaotumia kifaa hiki cha mawasiliano hususan kwa sie wa BBM ni kwamba tokea asubuhiya leo kumekuwa hakuna mawasiliano ya internet...hii ni kwa sababu server yao imekuwa down lakini wanashughulikia kutatua tatizo hili. Taarifa zaidi dumbukia humu: Millions of BlackBerry users...
  6. JS

    Habari za airport na wageni wanaokuja tz

    Wadau niko hapa airport yetu tukufu JKNIA nauza sura kwa kwenda mbele nikisubiria wageni wangu kuwapokea. Uzuri niko huku ndani kabisa. Sasa hapa kwa bench nililokaa wamejaa watu kama 8 wahindi wametokea Bangladesh hawafahamu lugha yoyote kwa hiyo hata kujaza zile fomu za immigration na visa ni...
  7. JS

    Umuhimu wa kuvaa high heels kwa wanawake

    Does Wearing High Heels Make Your V****a Tighter? Well, at first the commonly accepted though was that it did not. However, the answer is that it could in fact tighten you up, IF you walk in such a way that your buttock, or gluts, or Gluteus Maximus, is getting exercised more than it would be...
  8. JS

    Suuzeni roho kidogo na smooth jazz beats!!!

    Frankie Beverly and Maze - Before I let go.... Nimeshindwa kuweka youtube link hapa mnisaidie wale mnaojua
  9. JS

    Ndoto

    Wadau, mie leo usiku niliota Barack Obama (eee huyuhuyu Rais wa Marekani) ananitongoza na akataka niende nae Hanoi Vietnam kwa weekend..........yani it looked so real lol!! Ingekuwa kweli mbona shida zangu za hapa mjini zingeniisha?? au ndo namtamani sana Obama mpaka nafikia kumuota??? Eti he...
  10. JS

    Chakula cha Taifa letu ni kipi?

    WanaJF za masiku?? Nimekuwa nikitafakari suala hili nikajikuta nakosa majibu sawa. Hivi chakula cha taifa letu (national food) ni kipi? kwa mfano kwa Uganda ni matooke i.e. ndizi za matoke zilizopondwa kama ugali zinaliwa na mboga yoyote. na kama ni mgeni ni lazima uonje angalau kijiko kimoja...
  11. JS

    Shukrani kwa wana JF

    Wapendwa, habarini zenu? Kwanza niwatakie heri ya mwaka mpya wa 2011. Sikupata nafasi ya kuwaambia hivyo kutokana na kutingwa na mambo mengi. Pia, napenda kuchukua fursa hii kuwashukuruni wote mlionipa support kipindi cha msiba wa baba yangu mpendwa. Kwa kweli nilifarijika sana na salamu za...
  12. JS

    Acid!!

    Kwa nini unanifanyia hivi lakini???
  13. JS

    Elections 2010 Natamani ningekuwepo nyumbani!!!

    WanaJf, with only two days to go for general elections (ukiondoa leo), nasikitika kutokuwepo nyumbani ili nimchague kiongozi (viongozi) nayeona atafaa kutukomboa katika matatizo haya tuliyonayo. Natamani Tanzania ingekuwa na uwezo kwa wale walioko nje ya nyumbani kuweza kupiga kura kwa sababu...
  14. JS

    TSPCA (Tanzania Society for Prevention of Cruelty to Animals)

    WanaJF mwaendeleaje na misukosuko ya maisha?? Sasa kuna hii taasisi TSPCA sina uhakika ni ya Serikali au ina affiliation yoyote na Serikali au ni ya binafsi. Ningependa kujuzwa hapo. Na kama imeenea Tanzania nzima au ni Dar es salaam tu peke yake pale Upanga ambako hakuna hata geti/fensi...
  15. JS

    Heeeeeeelp!!!!!!!!

    Am bored, am confused, sijielewi, sina raha yani its a yellow-dark-green Tuesday. :frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::crying::crying::crying::crying::crying::crying:
  16. JS

    Mwanamke anayejiweza kimaisha

    Wandugu za leo, Hivi ukikutana na mwanamke umempenda na unatamani awe wako wa milele (kumuoa) lakini unakuta bahati nzuri (au mbaya kwa wengine) huyo mwanamke yuko safi kimaisha kazi nzuri kama pesa anazo kama mali anazo pia (sio hawa wamama watu wazima hapana wadada tu wenye umri unaofaa...
  17. JS

    Matumizi mbalimbali ya Vodka.........si kunywa tu

    Excellent tips I tried a few & it worked. KEEP A BOTTLE OF VODKA HANDY AT HOME FOR MAKING...
  18. JS

    'House girl' amnyonga mtoto, ajinyonga

    Habarini za leo!! Leo katika uchambuzi wa magazeti nimesikia kuwa huko Morogoro msaidizi wa kazi za nyumbani (famously known as housegirls) kamnyonga mtoto wa miaka wa miaka 2 na yeye kaishia kujinyonga pia. Sababu haijajulikana na uchunguzi unaendelea. Hii si mara ya kwanza kwa hawa wadada...
  19. JS

    Mume wa Mtu ananitaka

    Jamani wadau naombeni msaada kuna mume wa mtu kaniganda kweli kweli. Tulikutana mtaani kwenye starehe hizi tukawa tunapiga stori na mambo kama hayo mwishowe tukabadilishana namba za simu. Sasa kila kukicha ni simu ni text messages. ananitaka kimapenzi. nishamuambia sina hisia kwake na kwamba...
  20. JS

    KERO: Huduma mbovu kwa wateja

    Yani jamani hasira zimenipanda mpaka kwenye koo. kwa nini hakuna customer service inayoeleweka hapa Tanzania?? sio makampuni binafsi sio mashirika binafsi na ya umma kotekote ni balaa. Mtu unaenda benki unahitaji huduma rahisi tuu kupewa ATM card ambayo uliambiwa urudi baada ya mwezi ukarudi...
Back
Top Bottom