Natamani ningekuwepo nyumbani!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani ningekuwepo nyumbani!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by JS, Oct 28, 2010.

 1. JS

  JS JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  WanaJf, with only two days to go for general elections (ukiondoa leo), nasikitika kutokuwepo nyumbani ili nimchague kiongozi (viongozi) nayeona atafaa kutukomboa katika matatizo haya tuliyonayo.

  Natamani Tanzania ingekuwa na uwezo kwa wale walioko nje ya nyumbani kuweza kupiga kura kwa sababu ni kura nyingi sana ambazo ziko nje na zingeweza kuleta mabadiliko yale ambayo wananchi wengi tumekuwa tukiyalalamikia.

  Kwa wengine kama mie, i was looking so much forward to voting this year ingekuwa ni mara ya kwanza kupiga kura.Mara nyingine za nyuma sikuwepo pia lakini somehow somewhere God didnt make it possible even for this year.

  I urge all the wananchi back home through this esteemed Forum, to vote wisely, vote with a positive spirit, vote like a real nationalist and above all vote for a change...yes you can!!!

  Muwe na siku njema.

  JS
   
 2. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Pole sana JS ;wewe ni Mzalendo na bila shaka tutakuwakilisha kuchagua wisely and for Change.
   
 3. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  I think the Tanzania Diaspora have its association. You should forward your views to them. |
  It is easier for them to persuade the Ministry of Foreign Affairs and NEC to arrange such a move ili iwezekane in 2015.
  Although I think watazingua cz most voters will oppose the ruling party.

  I have been asking myself kwa nini hata Tanzanian PRISONERS in hawapigi kura wakati wapo nchini.
  I think wanasheria mnisaidie hapo
   
 4. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tutawakilisha kwa fujo. tuombeane
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Thnkas JS,
  We will vote wisely and we shall get true leaders inshallah!!!\

  Be a good girl and as the Ugandans... how do they pronounce election?
   
 6. T

  The King JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana JS. Nakuomba wasiliana na ndugu, jamaa na marafiki wote walio nchini katika siku hizi tatu kwa simu au emails na kuwashawishi ili wampigie kura Rais Mtarajiwa Dr Slaa, Wagombea ubunge na udiwani toka Chadema.
   
 7. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  for sure change is all we need,and it has to be now For everything you have missed, you have gained something else, and for everything you gain, you lose ,so uisijali dia Growth means change and change involves risk, stepping from the known to the unknown.
  Nawakalisha :peace::peace::peace:

   
Loading...