Acid!!

// Ad Code here
Anatumia line gani huyo mpwa? I believe is nothing to do with the tiGo one!
 
Nacheka tu hapa mwenyewe .........JS vipi mdogo wangu?? mganda kaachia ngazi nini au??
 
wewe nawe usingempa kidude chako....
ona sasa umempa kachapa mwendo!hahahhah...
tafuta tu mwingine,lol:redfaces:
 
LaughingSmiley.gif
 
wewe nawe usingempa kidude chako....
ona sasa umempa kachapa mwendo!hahahhah...
tafuta tu mwingine,lol:redfaces:
Yaani nilivyosoma nilishtuka mpaka basi, nikajua leo ndio ID revelation imeanza

Phew!!!!!

haya mdogo wangu hebu niambie nini tena kimetokea hadi unitamke kama niko juu ya kifua ati?
 
Nitakuja kukusalimia ukiwa KEKO gerezani
 
Yaani nilivyosoma nilishtuka mpaka basi, nikajua leo ndio ID revelation imeanza

Phew!!!!!

haya mdogo wangu hebu niambie nini tena kimetokea hadi unitamke kama niko juu ya kifua ati?

HA HA HA HA HA HA Lol!!!!!!!
 
Back
Top Bottom