TSPCA (Tanzania Society for Prevention of Cruelty to Animals) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TSPCA (Tanzania Society for Prevention of Cruelty to Animals)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JS, Sep 15, 2010.

 1. JS

  JS JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  WanaJF mwaendeleaje na misukosuko ya maisha??

  Sasa kuna hii taasisi TSPCA sina uhakika ni ya Serikali au ina affiliation yoyote na Serikali au ni ya binafsi. Ningependa kujuzwa hapo. Na kama imeenea Tanzania nzima au ni Dar es salaam tu peke yake pale Upanga ambako hakuna hata geti/fensi inayoeleweka.

  Pili, najua hii taasisi ni ya kutetea maswala ya wanyama kutetea haki za wanyama wa kila aina na pia kuwalinda. Kwa nchi zilizoendea taasisi kama hizo ziko busy kweli kweli wanyama waliogongwa na magari au walioumia au wanaonyanyasika wanaripotiwa na kikosi kazi kinaenda eneo la tukio na kuwa-rescue in one way or the other kwa kushirikiana na raia.

  Lakini kwa hapa kwetu taasisi hii imekuwa dormant kufanya kazi zake zinazopaswa.
  nasema hivi kwa sababu sioni chochote kinachofanywa na bahati mbaya/nzuri mimi napenda sana wanyama (with an exception of a snake ambao are really scary naeza zimia nikimuona tu hivi lakini ni mnyama pia na haki zake:fear::fear::fear:).

  Paka na mbwa kila siku wanagongwa huko mabarabarani (highways) magari yanapita yanawakanyaga mpaka wanaisha kabisa hakibaki kitu. kila mtu anaondoka na kipisi cha mnyama huyo kwenye tairi yake (and guess what wale ndugu zangu waosha magari wanasugua matairi ya magari hayo hayo na brush zao bila any protection mtu anaeza pata kaugonjwa ka-ajabu kama mnyama huyo alikuwa na magonjwa).

  Kuna tatizo la mbwa na paka wanaoranda randa hovyo na mbuzi na kondoo sijui ng'ombe maeneo mengine ya manispaa.

  Sasa wandugu hii TSPCA imekuwa ikifanya nini haswa kama kazi zake haifanyi??
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Sep 15, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hi JS, how is life treating you?

  I see you are an animal rights activist of some sorts. You may want to check out the People for the Ethical Treatment of Animals (PETA): The animal rights organization if you don't already know about it. PETA, in my opinion, is the premier animal rights group/organization in the world. You may find some like minded people over there and perhaps do some networking and all that jazz.

  Quick question though, are you a vegetarian? or vegan?
   
 3. JS

  JS JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hey NN long time.....am good no complains

  Sasa NN you just had to hit me right on my ****. anyway, am not a "vegan" and not planning to be one anytime soon. I just have a thing for animals and i love cats. Back to the link you gave, its quite okay, am checking it out
   
 4. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  ..nili-join na hii taasisi mwaka 1998 then 2000 nikaenda ulaya for 7 years nakurudi bongo. nimeiulizia kwa watu kadhaa lakini napata majibu ya kukatisha tamaa kwamba ipo dormant sana na kati ya watu 12 niliowauliza 7 wamesema hawajui kitu kama hicho (animal rights activist). ni NGO. kwa sasa nipo tanga naangalia namna ya kuanzisha kitu kama hicho!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ooooh...gooosh!
  What a weird hobby!
  I love animals only when they are in soup-form...huh!
   
Loading...