Heeeeeeelp!!!!!!!!

JS

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
2,064
497
Am bored, am confused, sijielewi, sina raha yani its a yellow-dark-green Tuesday.

:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::crying::crying::crying::crying::crying::crying:
 
Consult Invisble... two years ago he came with with the same problem na kuna watu walimshauri nadhani amepona!!!
 
Mkuu una kumbukumbu! ni kweli alikuwa anaumwa kichwa

Ila tatizo la JS nahisi linaenda zaidi ya hapo

isije ikawa ana kaujauzito TAYARI.......:confused2:
 
Am bored, am confused, sijielewi, sina raha yani its a yellow-dark-green Tuesday.

:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::crying::crying::crying::crying::crying::crying:

Pole jamani....u will be fine..what exactly is not happening?
 
am bored, am confused, sijielewi, sina raha yani its a yellow-dark-green tuesday.

:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::crying::crying::crying::crying::crying::crying:

sijakupata bado ina maana una maruhani au unahitaji msaada wa kibaiolojia?.
 
Mkuu una kumbukumbu! ni kweli alikuwa anaumwa kichwa

Ila tatizo la JS nahisi linaenda zaidi ya hapo

isije ikawa ana kaujauzito TAYARI.......:confused2:

Hapo cousin ndio umeniua kabisaaaaa... yaani invisibo alikua anaumwa kichwa, halafu huyu ujauzito.. duh, what a coincidence!! Mmoja kichwa, mmoja mimba

Tumpe pole dogo wetu
 
Am bored, am confused, sijielewi, sina raha yani its a yellow-dark-green Tuesday.

:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::crying::crying::crying::crying::crying::crying:

pole sana mwaya, will pray for you. :pray2:
 
Am bored, am confused, sijielewi, sina raha yani its a yellow-dark-green Tuesday.

:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::crying::crying::crying::crying::crying::crying:

Ebwaneeeeeee pole mchumba kasepa nn?
 
Mkuu una kumbukumbu! ni kweli alikuwa anaumwa kichwa

Ila tatizo la JS nahisi linaenda zaidi ya hapo

isije ikawa ana kaujauzito TAYARI.......:confused2:

Hako kaujauzito hako Kaizer unakokasema nitakapatia wapi watu hawatangazi nia bana wamegoma...........
 
Wakati mwingine ni mwili na akili vinakuwa vimechoka. Unahitaji mapumziko ya kutosha hasa kama hujachukua likizo kwa muda mrefu ili mwili na akili vipumzike na kuweza tena kupambana na your daily routines za kimaisha. Kama hali ni mbaya sana na inaendelea kwa siku zijazo basi waone Wataalam wakusaidie uondokane na hali hiyo. Kila la heri.
 
Pole JS huwa inatokea jitahidi upumzike akili itulie na ufanye kitu kitakachokufurahisha baada ya kazi... mwaaaah
 
Hako kaujauzito hako Kaizer unakokasema nitakapatia wapi watu hawatangazi nia bana wamegoma...........

Mi nilikuwa njiani kutangaza NIA ile sredi ikanikimbiza nikakimbiza hisa...
 
Wakati mwingine ni mwili na akili vinakuwa vimechoka. Unahitaji mapumziko ya kutosha hasa kama hujachukua likizo kwa muda mrefu ili mwili na akili vipumzike na kuweza tena kupambana na your daily routines za kimaisha. Kama hali ni mbaya sana na inaendelea kwa siku zijazo basi waone Wataalam wakusaidie uondokane na hali hiyo. Kila la heri.

I think am gonna do just that nichukue likizo nipumzishe mwili na akili. Thanks BAK
 
Mi nilikuwa njiani kutangaza NIA ile sredi ikanikimbiza nikakimbiza hisa...

Wewe hata hukuwa na dalili za kutangaza nia sikuziona kabisa kwa hiyo uache kunanihiii hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom