Shukrani kwa wana JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shukrani kwa wana JF

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by JS, Jan 26, 2011.

 1. JS

  JS JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wapendwa, habarini zenu? Kwanza niwatakie heri ya mwaka mpya wa 2011. Sikupata nafasi ya kuwaambia hivyo kutokana na kutingwa na mambo mengi.


  Pia, napenda kuchukua fursa hii kuwashukuruni wote mlionipa support kipindi cha msiba wa baba yangu mpendwa. Kwa kweli nilifarijika sana na salamu za pole/rambirambi kutoka kwa WanaJF walioko sehemu mbalimbali ndani na nje ya Tz.


  Baba alikuwa mgonjwa kwa muda mrefu kiasi kuanzia mwezi wa saba. Sisi kama familia tulipokea ugonjwa wake kwa mikono miwili na kumpa huduma ipasavyo. Hata hivyo Mungu alimpenda zaidi na akamchukua tarehe 31 Dec. 2010 usiku tukijiandaa kupokea mwaka mpya.You can all imagine how bad it was. Tulimaliza shughuli zote za maziko salama.


  Jana jioni nilipata fursa ya kukutana na baadhi ya WanaJF, nilifarijika sana kuwaona. Kwa kweli through JF I have made myself true friends whom I can count on everything. Asanteni sana Teamo, MJ1, the Finest, GY, LD, Asprin, Acid, St. RR, Askofu, Bigirita, Kimey, Maty, FL1, Dark City, Pearl, Lizzy na wengine wote ambao sijawataja. Na namaanisha WanaJF wote whether nakufahamu in person au sikufahamu, nakushukuru sana. Na poleni kwa wale ambao hamkupata taarifa mapema lakini msijali najua deep down in your hearts hamkupenda iwe hivyo.


  Mungu awazidishie baraka tele. Tuendelee na moyo huo huo wa kuwa marafiki wa karibu wakati wa shida na raha. Nawapenda sana.  With much love and appreciation,
  JS
   
 2. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Pooole sana JS! Tunafurahi mmemaliza mazishi salama! Mungu aendelee kuwapeni nguvu!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  pOLE SANA BEST...Hilo ndilo neno la juu ambalo kwasasa naweza nikatamka kukupa faraja!
  Mungu akufariji zaidi!
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Mshiki...

  Kwa mara nyingine tena: Pole kwa pigo ulilolipata, mipango ya Mungu siku zote haina makosa. Naelewa machungu na pengo ulilolipata, lakini hakuna jinsi, maisha ni lazima yasonge mbele. Katangulia mbele ya haki, nasi tutamfuata huko. Jina la Bwana linapaswa kuhimidiwa. Imeandikwa TUSHUKURU KWA KILA JAMBO. Nasi Tumshukuru Mungu kwa uamuzi alioufanya wa kumtanguliza mzee wetu mbele ya haki.

  Tunaendelea kumuombea Mzee wetu apumzike kwa amani. Amen

  TUTAONANA PARADISO, KWENYE MJI WA RAHA!
   
 5. JS

  JS JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Asante sana Trustme
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  pole sana JS...ni habari ya kushtua hii.....binafsi nimeguswa sana...kuondokewa na mzazi ni kitu chenye maumivu mno...Mungu akutie nguvu na uvumilivu....bwana alitoa bwana ametwa....jina lake lihimidiwe
   
 7. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Pooole sana
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  How sad it is to lose your beloved one,maanini Mungu anakupa nguvu za kuvumilia haya mapito!
  Pole sana
   
 9. RR

  RR JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  There we go JS....maisha yanaendelea.....najua kama familia mmeachiwa nyayo zisizofutika....najua mtamkumba na kuishi pamoja nae (kwa njia ya ya aliyowaachia mioyoni)........
  Nakupa pole kwa mapito uliyokumbana nayo...
  I am more than glad to have you back! I missed you!
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tunashukuru kwa kila jambo, Jina la bwana linapaswa kuhimidiwa tunaendelea kumuombea mzee wetu apumzike kwa amani.

  GOD IS GREAT
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ooooh Pole sana JS
   
 12. Smiles

  Smiles JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 1,231
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  JS,
  Pole sana rafiki,
  Prayin for u and ur family that God gives u strengths all the way,
  And may he rest his soul in peace.
  Tuko pamoja.
   
 13. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Pole Js,binafsi nlishangaa nilipoona taarifa ya kuwani msiba kwa Js hapa kwenye thread flani. Pole sana ndugu,ila baba akiondoka majukumu unayarithi,pole kwa kuongezewa majukumu na mola ayafanye mepesi. Kila kiumbe kitarudi mahala pake,iyo ndo njia ambayo sote tutaipitia kwa nyakati tofauti. Amina.
   
 14. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Bwana ndie mchungaji wako hutapungukiwa na kitu,Mungu akutie nguvu na kuwapa faraja ktk mapito mnyayopitia kama familia,Mungu mwenye rehema awe ndie fimbo na muongozo wenu,Tuzidi kumwombea Baba mpendwa apumzike kwa Amani.
   
 15. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa mara nyingine tena pole sana Mdada, Mungu awape nguvu mue na amani na upendo.
  Pamoja tutashinda yote. Amen
   
 16. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #16
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  pole sana JS...maneno yamenichoma sana hayo.
   
 17. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #17
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  pamoja sana dada
   
 18. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Pole sana na ahsante kwa updates.
  Baraka & Rehma zake muumba ziwe nawe/nanyi, nguvu KUU iwe nanyi daima.
   
 19. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Yeye aliye Mkuu, anayajua machungu yako na anafanya mambo yake kwa kadiri ya matakwa yake.
  Yeye aliye Mkuu akakupe nguvu, sisi tutakuonyesha upendo lakini yeye atakupa Upendo na amani.

  Akakutie nguvu kuu, ukazione nyayo za baba yako mpendwa katika upendo wake kwako, msimamo wake kwako na ucheshi wake kwako.......Ukaziishi nyayo hizo.
   
 20. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  pole sana
   
Loading...