Ndoto

Ndoto

JS

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Posts
2,064
Reaction score
506
Wadau, mie leo usiku niliota Barack Obama (eee huyuhuyu Rais wa Marekani) ananitongoza na akataka niende nae Hanoi Vietnam kwa weekend..........yani it looked so real lol!! Ingekuwa kweli mbona shida zangu za hapa mjini zingeniisha?? au ndo namtamani sana Obama mpaka nafikia kumuota??? Eti he was checking me out in his office akanipa kinote akiniambia niende naye huko Hanoi na kila kitu kimeshawekwa sawa.......................damn i wish it was true...halafu he looked so handsome in person

Wadau letteni ndotoni zenu hapa tufurahie ambazo unatamani zingekuwa kweli

JS
 
Haiyaaa....JS....Michelle alikuwa wapi?.....mwee.....na sasa!! ilikuwa mnaenda na Air Force au ipi?
 
mimi kuna moja huwa inanibore sana. Always natembea nikiwa pekupeku.
 
Haiyaaa....JS....Michelle alikuwa wapi?.....mwee.....na sasa!! ilikuwa mnaenda na Air Force au ipi?

Hapo thatha Preta Michele angenitoa macho.......sijui tulikuwa na AF1 au vipi sikupata hata nafasi ya kuuliza yote hayo kama unavyojua tena mpenzi Obama yuko bize kweli kweli na shughuli za kujenga Taifa
 
mimi kuna moja huwa inanibore sana. Always natembea nikiwa pekupeku.

Unatembea miguu ikiwa pekupeku au "unatembea pekupeku"? lete ndoto yote bana
 
Mimi labda nitaota natoka na Sara Pallin.....lol
 
Nilipoona thread ya ReV.Masa juu ya kitabu kinachohusu JINSI YA KUMWELEWA MWANAMKE nilidhani saundi...kumbe kweli kipo!...Goosh!



I finally got the book that will help you understand women better. Let me know if you need a copy!

attachment.php
 
Jitahidi ipo siku utaota mnaduu, Lol!
 
Back
Top Bottom